Mtukane na wewe uoneWanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.
Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Lowassa ni msafi kuliko yule aliyehonga milioni kumikumi na alipoulizwa juu ya huo uchafu akajibu.."KAMA UMESIKIA TAARIFA YA CHAMA KINGINE,SI UJIUNGE NACHO" poorest logic ever
Mkuu mbali na kutoka CCM bado tumkumbuka na tunapenda arudi CCM tutampokea. Tuko pàmoja nae.Lowasa ni mwana wa Mungu,Mtu wa watu, rais wa mioyo yetu na chemchem ya busara isiyokauka.
Ukimtaja tu CCM wanapoteana.
Haiwezekani. Wamewezaje? Hawawezi kuibiwa kura hawa!Wamemkata.
Pia angetuongoza kwa vision as a LEADER na sio MANAGER.Lowassa angekuwa Rais wa hii Nchi hivi sasa, tusingekuwa kwenye hali ya hivi sasa Nchini.
Kwani hajashinda? Si alikuwa anaongoza kwa kura 85%!
...Joseph MungaiMimi sishabikii wewe weka hiyo orodha ili uwaumbue hao wanaoshabikia kijinga. Ila kama na wewe ni mmoja wao utashindwa kuweka hayo majina maana umeweza kuandika jina LA Lowassa tu.
Na wewe unajiita babu kwa mtizamo huo basi wazee wenye hekima wamekwishaHamjambo wajukuu zangu.
Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.
Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.
Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.
Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za mawaziri mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.
Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mwembeyanga sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.
Babu yenu
Tanaluza
Mh RC inabidi akamuombe warioba msamaha, ni laana kumpiga mzee, haina tofauti na kula rambi rambi au sadaka.
Kama hivo sawa.Pole,nasikia walikuwa wanatafuta mtu "Mashuhuri" na siyo "Maarufu"
Hao wanaokufa wanakufa kwa uzee wao tu, wapo wengi tu vijana waliosema na wanadunda hadi leo nikiwemo mimi, na sijawahi kuugua ata malaria kwa miaka 10 sasa , usihusishe vifo hivyo na lowasa, ni mungu tu kapenda, siku lowasa akiondoka sijui utasemaje?, ila tambua umaarufu wa lowasa uliletwa na umasikini wenuHamjambo wajukuu zangu.
Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.
Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.
Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.
Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za mawaziri mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.
Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mwembeyanga sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.
Babu yenu
Tanaluza
Mjukuu wangu tangu nimeanza kumjua Lowasa miaka ya 1980 pengine wewe ulikuwa either hujazaliwa ama ndo unazaliwa sijawai kusikia Lowasa kaongoza nchi hii. Hata hivyo nafasi kubwa aliyoshikilia ya uongozi ktk Serikali ni uwaziri mkuu ambao alidumu nao si zaidi ya miaka miwili je amesababishaje umaskini wa Tanzania ikiwa hakuwai kupewa dhamana ya uongozi wa juu kabisa ukilinganisha na JK1, Ruksa, Mzee wa malofa, JK2 na hata sasa Mtumbua majipu.Hao wanaokufa wanakufa kwa uzee wao tu, wapo wengi tu vijana waliosema na wanadunda hadi leo nikiwemo mimi, na sijawahi kuugua ata malaria kwa miaka 10 sasa , usihusishe vifo hivyo na lowasa, ni mungu tu kapenda, siku lowasa akiondoka sijui utasemaje?, ila tambua umaarufu wa lowasa uliletwa na umasikini wenu
Mkuu katika biblia kuna watu walipata mapigo kwa kuwadhihaki wanadamu tu ambao walikuwa watumishi wa Mungu achilia mbali habari ya Yesu.Kimsingi watu walipitiliza waliichukua nafasi ya yule mwenye mamlaka juu ya uhai.Mfano kauli za mama Kwelina Kombania,ndugu yetu dodas masabuni,Mchungaji Mtwikila hata huyu ndugu yetu wa juzi kimsingi walinena vibaya juu ya huyu mtu ambaye kimsingi hakurudisha neno.Unajua heri angekuwa anawarudishia lakini yeye hakuwa anarudisha kwa vyovyote vile lazima mwenye mamlaka juu yetu atasimama amtetee.Kumbuka ni mwaka mmoja tu tangu watu wamnenee hivyo lakini ni namba kubwa ya viongozi hawa waliolala mauti.Kwa vyovyote ninashauri aliyemnenea vibaya hadharani kwenye majukwaa hima akatengeneze naye,Husisubiri yakufike hutokuwa na nafasi ya kutengeneza naye tena huko uendako hakuna shauri.Yesu alitukanwa, Muhammad alitukanwa;kamwe hawakulipiza wala Mungu hakuwaadhibu waliowatukana hawa mitume
kama kuna ukweli kuwa kila anayemsema lowasaa anakufa, basi lazima atakuwa mwana wa shetani na mkuu wa wachawi
Mungu hana tabia za visasi
here comes another question, je angekuwa rais ingekuwaje? si angetaka kuabudiwa?
hakuwa na hatakuwa