Pampula 1
Member
- Apr 29, 2016
- 37
- 20
Umeanza lini unajimu na kubashiri?Lowassa angekuwa Rais wa hii Nchi hivi sasa, tusingekuwa kwenye hali hii ilivyo hivi sasa Nchini.
Umeanza lini unajimu na kubashiri?Lowassa angekuwa Rais wa hii Nchi hivi sasa, tusingekuwa kwenye hali hii ilivyo hivi sasa Nchini.
Muulize Didas MasaburiWanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.
Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Unaongea ova na wewe sio mwizi vileMi siwezi kufa sababu ya huyo mungu wako lowassa,iwe mwanzo na mwisho kutisha watu upuuzi wako huu,kufa kwangu ni mipango ya ALLAH,sio huyo mwizi wa nchi hii.
Ukilitaja Lumumba haja ndogo zinawatoka ovyo utafikiri wana fistula.

Me2 Ni mwongo utadhani alishawahi kuwekewa drip ya damu ya Shetani

Wamemkata.Kwani hajashinda? Si alikuwa anaongoza kwa kura 85%!
Labda kashinda njaa.. HolaaaaaKwani hajashinda? Si alikuwa anaongoza kwa kura 85%!
Lowassa angekuwa Rais wa hii Nchi hivi sasa, tusingekuwa kwenye hali hii ilivyo hivi sasa Nchini.
Niliwazaga hivi hivi wakati watu wanakejeli afya ya huyu Mzee! Wengine wakapiga push up kuonyesha wao wako fit na sio wagonjwa. Au Mkuu umesahau? Wengine walienda mbali hadi wakasema alijisaidia akiwa jukwaan. Mkuu hukumbuki? Mimi nilijisemea afya na kifo sio jambo la kumkejili mtu kabisa! Mzee Sumaye alisimama kutetea afya ya Mh Lowasa kuwa kadri umri unavyosogea na maradhi yanakusogelea ila watu wale waliendelea kumkejeli tu. Mkuu hadi hapa nadhan hutahitaji tena ushahidi lazma utakuwa umekumbuka. Nadhani ndio mana mleta mada alikuja na wazo hili. Ukitaka ushahidi zaidi nitakueleza zaid. Ila nakuunga mkono suala la afya na vifo siyo mambo yakukejeli hiyo yote ni mipango ya Mwenyezi MunguWanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.
Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Computer za Forbes hazinyang'aliki kama zile za 1)Ukawa, 2) Za jumuia ya haki za Binaadamu au 3) Umoja wa asasi za Kiraia. Na Pia hakuna Ngumbaru kama Jechu wa Kupewa tuzo na Magugu samahani namaanisha Maguvu ili apewe Umutuz wa Afirika.Wamemkata.
iMjukuu wangu na uzee naogopa kwenda jela kuna cybercrime law. Unaweza kumjua ni yule kijana alikuwa cdm then akafukuzwa akamfuata msaliti mwenzake kule chigoma
Hawahitaji faraja wanahitaji pesa.Wanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.
Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Huu upuuzi ndo Lowassa hautaki ndani ya UKAWAMjukuu wangu na uzee naogopa kwenda jela kuna cybercrime law. Unaweza kumjua ni yule kijana alikuwa cdm then akafukuzwa akamfuata msaliti mwenzake kule chigoma
Hamjambo wajukuu zangu.
Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.
Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.
Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.
Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za mawaziri mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.
Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mwembeyanga sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.
Babu yenu
Tanaluza