Wanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.
Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.