Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Nauliza tu: Lowassa ana nini jamani?

Mkuu katika biblia kuna watu walipata mapigo kwa kuwadhihaki wanadamu tu ambao walikuwa watumishi wa Mungu achilia mbali habari ya Yesu.Kimsingi watu walipitiliza waliichukua nafasi ya yule mwenye mamlaka juu ya uhai.Mfano kauli za mama Kwelina Kombania,ndugu yetu dodas masabuni,Mchungaji Mtwikila hata huyu ndugu yetu wa juzi kimsingi walinena vibaya juu ya huyu mtu ambaye kimsingi hakurudisha neno.Unajua heri angekuwa anawarudishia lakini yeye hakuwa anarudisha kwa vyovyote vile lazima mwenye mamlaka juu yetu atasimama amtetee.Kumbuka ni mwaka mmoja tu tangu watu wamnenee hivyo lakini ni namba kubwa ya viongozi hawa waliolala mauti.Kwa vyovyote ninashauri aliyemnenea vibaya hadharani kwenye majukwaa hima akatengeneze naye,Husisubiri yakufike hutokuwa na nafasi ya kutengeneza naye tena huko uendako hakuna shauri.

Lowassa ni fisadi, sasa kwa akili zako timamu kama unamfananisha na yeyote katika biblia kwa kuandika maneno mengi ya kipuuzi pole sana

Lowassa na fisadi, Lissu na chadema wenzake wamemsema kwa uthibitisho kwa miaka tisa, mpaka kila mtu mpaka mbwa wako na paka wako, kama sio Panya wanajua

Mbowe , lissu na chadema wamemkubali na kumkumbatia Lowassa for commercial advantages wala sio eti kwa sababu ana virtue, characters na attributes unazofikiria au kudhania kuwa anazo

pole sana mkuu,

Mama yako akigundua kuwa ni wewe , atajua kwa nn hakukutoa kama mimba ulipokuwa na wiki 2

Hakuna na hakutatokea uhusiano wowote wa kauli za watu kumsema vibaya Lowassa na watu wakafa, waliosemwa duniani sio mafisadi tu kama lowassa mpaka mitume
 
Huyu mh sijui ni mlinganishe na nani hapa Tanzania kwa ushujaa. Kwa mbali labda hayati Sokoine anaweza kimsogelea.

Na washawasha!
 
Wanajamvi wenzangu humu ndani kumezuka tabia ambayoa hata kichaa anaweza kutushangaa,ikitokea amefariki mwanasiasa fulan ambaye hayuko upande wa lowassa utasikia watu wa viroba wanakuja na kebehi eti alimtukana lowassa,upuuzi mkubwa sana huu,bila evidence ya kutuonesha kua kweli alitukanwa,lakini hata hivyo lowasa ni nani asitukanwe?asisemwe?tuache kazi za MUNGU ziendelee,mambo ya kuhusisha kifo cha mtu na sababu za kijinga tuache ni dhambi.

Note:nipo kagera kwenye kuwafariji waliotapeliwa,sitaki mabishano.
Kumbe unajua magufuli katapeli huko eeeh
 
Kamamnampenda mpeni chamachenu akiongoze. Hatuwezi jaribu sumu kwa kuionja.
 
maMvi ndio anastahili kuomba radhi kwa ufisadi alioufanya kwa taifa ili. Mtu mwizi mbaka nywele zinabadilika rangi.
 
Lowassa ni fisadi, sasa kwa akili zako timamu kama unamfananisha na yeyote katika biblia kwa kuandika maneno mengi ya kipuuzi pole sana

Lowassa na fisadi, Lissu na chadema wenzake wamemsema kwa uthibitisho kwa miaka tisa, mpaka kila mtu mpaka mbwa wako na paka wako, kama sio Panya wanajua

Mbowe , lissu na chadema wamemkubali na kumkumbatia Lowassa for commercial advantages wala sio eti kwa sababu ana virtue, characters na attributes unazofikiria au kudhania kuwa anazo

pole sana mkuu,

Mama yako akigundua kuwa ni wewe , atajua kwa nn hakukutoa kama mimba ulipokuwa na wiki 2

Hakuna na hakutatokea uhusiano wowote wa kauli za watu kumsema vibaya Lowassa na watu wakafa, waliosemwa duniani sio mafisadi tu kama lowassa mpaka mitume

Kama ni fisadi na bado anadunda mitaani basi hiyo serikali yenu ni dhaifu na inamgwaya.
 
Kumbe hujui?? Lowasa ni Meule wa Mungu, ni jiwe lililowashinda waashi, na atakaeanguka ktk jiwe hili litamsaga na kumuangamiza kabisa!
 
IMG-20160826-WA0005.jpg
 
Hamjambo wajukuu zangu.

Tangu nimeanza kuwa mtu mzima(18yrs) katika miaka ya 1970s sijawai ona maajabu kama haya yanayotokea sasa katika medani za siasa ya nchi ya viwanda na kutumbua majipu.

Namzungumzia Mhe Edward Ngoyai Lowasa, nguli la siasa tangu enzi za Mwlm JK Nyerere. Edward Lowasa ni mwanasiasa aliyepitia magumu mengi pengine kuliko mwanasiasa yeyote katika siasa za Tanzania. Lowasa aliwahi kuhusishwa na kashfa ya ubadhirifu AICC, Richmond, Jengo la UVCCM na kashfa nyingine nyingi nje ndani ya ccm na serikali ya Tanzania.

Ajabu lenyewe ni hili hapa. Lowasa baada ya kuhama CCM na kugombea urais kupitia UKAWA amekua ni nyota inayong'aa ambayo ina tumaini tele mbele ya watanzania wanyonge. Amekuwa kama Musa aliyewatoa wanawaisrael utumwani Misri kuelekea nchi ya ahadi.

Linalonishangaza zaidi kila aliyeinua/anayeinua kinywa chake na kumnena vibaya mtu huyu maono huwa yanamrudia mwenyewe. Kumbukeni kauli za watu mbalimbali waliomtusi na kukashifu afya mtu huyu lkn wao ndo wamekuwa wa kwanza kuchungulia kaburi. Lakini pia chunguzeni kwa makini matamko yenye utata ya Mhe RC ambaye alitumia muda mwingi kumnanga na kumsimanga Lowasa ndani ya UVCCM. Mhe RC hv sasa ameanza kupoteza mwelekeo kila kauli inayotoka kinywani mwake ina ukakasi dhidi ya wananchi ama watumishi wenzake.

Namuhurumia sana mjukuu wangu wa ACT aliyemtukana Lowasa pale mbagala zakhem sijui naye itakuaje tusubiri muda tu.

Babu yenu
Tanaluza
Hana lolote....hata ulichokiandika hapa naona hakuna jipya mnarudiarudia yaleyale ya zamani.
 
Huwa nasikia watu wabaya huwa hawafi mpaka wamelipia uovu walioufanya duniani.

Na nikiangalia mifano, nahisi kama ni kweli!
 
Lowassa ni fisadi, sasa kwa akili zako timamu kama unamfananisha na yeyote katika biblia kwa kuandika maneno mengi ya kipuuzi pole sana

Lowassa na fisadi, Lissu na chadema wenzake wamemsema kwa uthibitisho kwa miaka tisa, mpaka kila mtu mpaka mbwa wako na paka wako, kama sio Panya wanajua

Mbowe , lissu na chadema wamemkubali na kumkumbatia Lowassa for commercial advantages wala sio eti kwa sababu ana virtue, characters na attributes unazofikiria au kudhania kuwa anazo

pole sana mkuu,

Mama yako akigundua kuwa ni wewe , atajua kwa nn hakukutoa kama mimba ulipokuwa na wiki 2

Hakuna na hakutatokea uhusiano wowote wa kauli za watu kumsema vibaya Lowassa na watu wakafa, waliosemwa duniani sio mafisadi tu kama lowassa mpaka mitume
Kwanza ni busara kujadili mada kwa adabu,hivyo ndivyo wafanyavyo watu wote wenye busara waliolelewa vema katika familiya zao.Kutoa matusi na kashifa sidhani kama zitakujenga hata watu wakawa na shauku ya kusoma mabandiko yako na itakusaidia pia katika maisha nje ya JF.Bila shaka unakubali kabisa kuwa huenda jina Lowasa ndilo jina ambalo chochote kikifanyika ni lazima kwa namna moja au nyingine jina lake lijitokeze kwenye mjadala,tukio lolote la kitaifa likitokea ni sura ambayo kila mmoja anakuwa na shauku ya kuiona,hata wewe pia umekimbia haraka kufungua uzi huu na kuanza kuropoka hovyo kwa kuwa uzi ulikuwa na jina la huyu ndugu.
Pointi yangu kubwa ni kuwa yaliyokuwa yanafanywa na hao wenzetu ya kuzungumza kuwa huyu atakufa hata mwaka hauishi yalikuwa makosa makubwa mwenye dhamana ya uhai,afya zetu ni Mungu pekee.Walinena maneno ya dhihaka kwa mtu kwa kitu(ugonjwa)ambao yeye mnenewaji hana authority nacho,na jambo baya zaidi yeye hakujibu lolote na hawakuacha.
 
Back
Top Bottom