CCM yapinga Lowassa kumkimbia Tundu Lissu CHADEMA

kilagalila

JF-Expert Member
Nov 8, 2018
321
250
1551530972355.jpeg

Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepinga vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni,mabishano ya baadhi ya wanasiasa pamoja na magazeti yanayo mtuhumu aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa kurejea CCM Kuwa amemkimbia Tundu Lissu aliyetangaza kuwa endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kugombea Urais Mwaka 2020 basi atagombea.

Mwaka 2015 Edward Lowasa baada ya Jina Lake Kukatwa Kwenye Harakati za Kutaka Kugombea Urais Kupitia CCM Alihamia chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema na kuhudumu katika chama hicho kwa Kipindi cha takribani miaka mitatu mpaka mpaka alipotangaza siku ya Jana kurejea kwenye chama chake.

Hatua hiyo imewaibua wanasiasa hasa wa vyama vya upinzani ambao wameweka mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii wakizungumzia kitendo hicho jambo lililokifanya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kupitia mwenezi wake Erasto Ngole Kuzungumza na vyombo vya habari na kupongeza hatua iliyochukuliwa na Lowasa.

“Lowasa ni tunu na ni miongoni mwa watanzania viongozi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alipata kura milioni sita na pointi huku mgombea wetu akipata milioni nane na pointi,na upinzani walimchukua wakiamini ni mtu makini mwenye mvuto katika jamii kwetu sisi hatumuangalii Lowasa peke yake ila ni pamoja na kundi lililopo nyuma yake,kwa hiyo ni mwanasiasa mahiri na kurudi ndani ya CCM inawezekana kukaongeza nguvu zaidi”alisema Ngole

Aidha Ngole ameongeza kuwa kutokana na hatua ya Lowasa kurejea CCM huenda kundi lake lote likarejea CCM Kwa kuwa ndiye mtu wao na siasa inahitaji mtaji wa watu.

“Kama Lowasa amerejea CCM basi kundi lake lote litarudi na pili kwamba Lowasa amemkimbia Tundu Lisu mimi nafikiri sio kweli na Tundu Lisu 2015 alikuwepo vyama vinavyounda ukawa vilimwona lakini walivyowaingiza kwenye vipimo walikuta Lowasa ni zaidi ya Tundu Lisu ndio maana walimpa nafasi kwa hiyo huyu sio kitu kwa Mzee Lowasa”aliongeza Erasto Ngole

Baadhi ya viongozi wa umoja wa vijana CCM Mkoa wa Njombe akiwemo Johnson Mgimba ambaye ni katibu wa hamasa na chipukizi,Amos Kusakula Katibu UVCCM Mkoa na Thobias Omega Mjumbe wa baraza kuu la vijana UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Njombe nao wamesema alichokifanya Lowasa ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kwa kuwa CCM ni chama kilichomlea kwa miaka yote huku wakipinga kiongozi huyo kutumwa kufanya kazi maalumu ndani ya Chadema.

Aidha siku ya jana mh.Lowasa wakati akitangazwa kurejea CCM alipata nafasi ya kuzungumza maneno yapatayo saba kuwa amerudi nyumbani.

“Mimi sina mengi ya kusema nimerudi nyumbani”alisema Lowasa jana wakati akiongea na baadhi ya wananchi wakati akitambulishwa.

MC.AMIRI /MR.MTAANI
 
Attachments

 • IMG_0432.JPG
  File size
  441.1 KB
  Views
  53
 • IMG_0441.JPG
  File size
  282.2 KB
  Views
  46

Jumbes

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
241
500
Wafuasi wa Upinzani kamwe hawawezi kupungua eti kwa sababu ya Mtu mmoja, kwa hali ilivyo mbaya kwa huu utawala mbovu wa CCM, wafuasi wa upinzani watazidi kuongezeka zaidi kuliko kawaida!
Wajinga hao waacheni wajidanganye tu
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,099
2,000
View attachment 1036042

Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepinga vikali taarifa zinazosambaa mitandaoni,mabishano ya baadhi ya wanasiasa pamoja na magazeti yanayo mtuhumu aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowasa kurejea CCM Kuwa amemkimbia Tundu Lissu aliyetangaza kuwa endapo Chama chake kitampa ridhaa ya kugombea Urais Mwaka 2020 basi atagombea.

Mwaka 2015 Edward Lowasa baada ya Jina Lake Kukatwa Kwenye Harakati za Kutaka Kugombea Urais Kupitia CCM Alihamia chama cha Demokrasia na maendeleo Chadema na kuhudumu katika chama hicho kwa Kipindi cha takribani miaka mitatu mpaka mpaka alipotangaza siku ya Jana kurejea kwenye chama chake.

Hatua hiyo imewaibua wanasiasa hasa wa vyama vya upinzani ambao wameweka mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii wakizungumzia kitendo hicho jambo lililokifanya chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kupitia mwenezi wake Erasto Ngole Kuzungumza na vyombo vya habari na kupongeza hatua iliyochukuliwa na Lowasa.

“Lowasa ni tunu na ni miongoni mwa watanzania viongozi kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alipata kura milioni sita na pointi huku mgombea wetu akipata milioni nane na pointi,na upinzani walimchukua wakiamini ni mtu makini mwenye mvuto katika jamii kwetu sisi hatumuangalii Lowasa peke yake ila ni pamoja na kundi lililopo nyuma yake,kwa hiyo ni mwanasiasa mahiri na kurudi ndani ya CCM inawezekana kukaongeza nguvu zaidi”alisema Ngole

Aidha Ngole ameongeza kuwa kutokana na hatua ya Lowasa kurejea CCM huenda kundi lake lote likarejea CCM Kwa kuwa ndiye mtu wao na siasa inahitaji mtaji wa watu.

“Kama Lowasa amerejea CCM basi kundi lake lote litarudi na pili kwamba Lowasa amemkimbia Tundu Lisu mimi nafikiri sio kweli na Tundu Lisu 2015 alikuwepo vyama vinavyounda ukawa vilimwona lakini walivyowaingiza kwenye vipimo walikuta Lowasa ni zaidi ya Tundu Lisu ndio maana walimpa nafasi kwa hiyo huyu sio kitu kwa Mzee Lowasa”aliongeza Erasto Ngole

Baadhi ya viongozi wa umoja wa vijana CCM Mkoa wa Njombe akiwemo Johnson Mgimba ambaye ni katibu wa hamasa na chipukizi,Amos Kusakula Katibu UVCCM Mkoa na Thobias Omega Mjumbe wa baraza kuu la vijana UVCCM Taifa kutoka Mkoa wa Njombe nao wamesema alichokifanya Lowasa ni uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kwa kuwa CCM ni chama kilichomlea kwa miaka yote huku wakipinga kiongozi huyo kutumwa kufanya kazi maalumu ndani ya Chadema.

Aidha siku ya jana mh.Lowasa wakati akitangazwa kurejea CCM alipata nafasi ya kuzungumza maneno yapatayo saba kuwa amerudi nyumbani.

“Mimi sina mengi ya kusema nimerudi nyumbani”alisema Lowasa jana wakati akiongea na baadhi ya wananchi wakati akitambulishwa.

MC.AMIRI /MR.MTAANI

Hizi sura zote za kuzimu tu, wamekondeana kama wametoka kutoa mimba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mpwaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2015
867
1,000

Kwa hio saiv sio oil chafu? Ccm ni mapumbavu kwel mnakuwa kama nguruwe pori aliefurushwa kwenye shamba la miwa.
 
Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,942
2,000

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
98,058

Tangu lini wachumia tumbo kama hao wakawa na busara?hao hao ndiyo walimuita lowasa majina ya oil chafu wakasema amejisaidia mkutanoni lkn leo wanamuona kuwa ni tunu ya taifa!

In God we Trust
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom