Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
 
Lakini wewe mbwa unawasaidia Viongozi wako walioiba uchaguzi kusafisha mazingira ya kula mifupa wanayokutupia huku minofo wanafaidi wao
 
Back
Top Bottom