Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Dah wa nyumbani nini kimekupata?Najua ujumbe wako unaweza kuwa na ukweli ndani yake lakini kuwaita wenzako nyumbu inafikirisha

Anyway,watu wako desperate ndio maana kila mtu kwao wanaona ni mkombozi(as long as anasema wachopenda au anawapa tumaini)

Ki ukweli watu wamekata tamaa ndio maana wako hivyo.Serikali ina kazi kubwa kurejesha tumaini kwa watu
 
Meja wa kuchaji
watz hamuamin kweny muda ,mnapenda mamb ya kuja na kutoa matokeo hapo kwa hapo

Watu wapo wanaendelea kuwaza planB , hii mech bado sn , viongoz wetu wakae na raia wayamalize lasivyo huko mbele patakuwa pabaya sn maana kwasas mpinzan anamilik washabiki krb wote uwanjan
 
Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Unamzungumziaje yule aliyeengua washindani wake, na kufanya mauaji ya halaiki, kisha kuweka familia, ndugu na jamaa zake madarakani. Huyo ametuonaje?
 
Ndo maana mkaitwa NYUMBU unafikiri hili jina lilitokana na nini!?

MTU yeyote akitaka Engagement, likes na followers anakuja kwa nyumbu anawatumia Ana pita hivi

Mange , Dangwa , Veronica , Habili the list is endless

Republic of nyumbu.
Nyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...

Ukweli aliivuruga movement lakini ukweli unabakia suala siyo followers bali nchi hii wasema ukweli wanachukiwa na watawala. Matokeo yake wanaishi maisha ya kujificha.
 
Kwani usipokuwa mwana ccm ndo ukose ujinga?

Mbona kuna wapumbavu wengi tu ambao pia si wana CCM

Wewe pia ni miongoni mwao

Mimi VITA yangu inajulikana tangia zamani.

Sitaki VIJANA watumike kwa maslahi ya wanasiasa .

Ikiwa wewe umeanzisha VITA yako hakikisha unapambana na unaimaliza pasipo kuhitaji msaada

Hakuna mtu anayebidi kuandamana ili chama Fulani kiingie madarakani.
 
Lile lilikuwa kanjanja tu lilitumia wakat mgumu wa watu kuwafariji ili kujpatia umaarufu
 
Back
Top Bottom