Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

Lakini alikuwa anaongea vitu vya kweli kabisa au wamempoteza,kumteka au kumuuwa?
Rostam alisafiri kwenda ughaibuni sijui alienda kumtafuta? Maana kuna tetesi za kutumia Warusi kumpata Habil & Kabil!
 
U- CCM ni matendo na wala si kumiliki kadi ya uanachama wa CCM. Maandiko yako yanasawiri akili na utashi wa mtu anayeiunga mkono CCM.
Ahaaa - kwahiyo mnataka watu wote tuwe na mawazo yanayofanana

Mimi niliongea hapa kuwa 29/10 vijana wasithubutu kuandamana kwakuwa wanaweza kupata madhara makubwa .

Watu wakasema sisi ni CHAWA.

Mkuu kupambana na CCM inahitaji mikakati ya siri na kujifua Sana na sio Kama ilivyo kule Tiktok.

Achievement iliyopatikana mpaka sasa ni VIFO Vya watu.

Ukiongea hivi unaitwa CHAWA
 
Rostam alisafiri kwenda ughaibuni sijui alienda kumtafuta? Maana kuna tetesi za kutumia Warusi kumpata Habil & Kabil!
Nyie mnaamini Sana propaganda

Na hapa CCM itakuwa inajipigia kila wakati.

MTU haumjui haujui uhusika wake Anavamia show mnamuita Rais wa Gen Z anawapa ahadi n.k mnamuamini mnamtumia taarifa zenu za siri

Ndo maana mnaitwa Nyumbu
 
Watanzania ni wamoja..Haki itendeke, amani idumishwe ..Watanzania tupendane nchi ni yetu sote tuijenge kwa manufaa ya kwetu sote na vizazi vijavyo..Amen
 
Nyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...

Ukweli aliivuruga movement lakini ukweli unabakia suala siyo followers bali nchi hii wasema ukweli wanachukiwa na watawala. Matokeo yake wanaishi maisha ya kujificha.
kuna baadhi ya watu na matendo yao maisha yao ni hasara , yaani kuwa hai tu ni hasara kuliko hata side mirror ya IST , kwa sababu hana reasoning kabisa ya kujua mema na mabaya kitu ambacho ndo neema pekee mungu katupa tofauti na wanyama
 
Dah wa nyumbani nini kimekupata?Najua ujumbe wako unaweza kuwa na ukweli ndani yake lakini kuwaita wenzako nyumbu inafikirisha

Anyway,watu wako desperate ndio maana kila mtu kwao wanaona ni mkombozi(as long as anasema wachopenda au anawapa tumaini)

Ki ukweli watu wamekata tamaa ndio maana wako hivyo.Serikali ina kazi kubwa kurejesha tumaini kwa watu

Anachofanya Habili ni kutonesha kidonda kilichoanza kupona.

Nachukizwa Sana na hizi harakati fake zinazoratibiwa na wanaharakati uchwara

Kwakuwa kabla ya 29/10 niliwapa ushauri kuwa ni kweli CCM imepoteza misingi yake Ila tusitumie njia ya maandamano .

Mchango huu niliandika kule X twitter Ila wakaniita CHAWA

Kama watu wasingeandamana tungekuwa hakuna VIFO

Ina maana tunge focus na reform za uchagizi na katiba mpya .

Ona sasa hali ilivyo then bado unawaona wansema vijana mtoke
 
Nyumbu ni yule anayeamini kuwa maisha ya binadamu yanalingana ama hayana thamani kuliko basi la mwendokasi...

Ukweli aliivuruga movement lakini ukweli unabakia suala siyo followers bali nchi hii wasema ukweli wanachukiwa na watawala. Matokeo yake wanaishi maisha ya kujificha.

Watu Kama Lissu anayesema nyeupe ni nyeupe ndo wenye uwezo wa kuleta mabadiliko hapa Tanzania .

Na sio MTU anakuja Leo anajifanya yupo upande wenu mnampatia Taarifa then anatokomea
 
Mimi niliongea hapa kuwa 29/10 vijana wasithubutu kuandamana kwakuwa wanaweza kupata madhara makubwa .
Kwanza kwa nini ulihisi watapata madhara makubwa... Jee uliona watakuwa wamestahili kwa madhara ambayo wangeyapata kama wangeandamana?

Hii hoja kwamba watu tunataka wote tuwe na mawazo yanayofanana huoni kama Iko zaidi kwenu nyinyi mnayoiunga mkono Serikali?

Wewe ungesikia vijana wa CCM wanataka kuandamana kumuunga mkono Samia ungetoa tahadhari kama hiyo uliyotoa kwa vijana waliokuwa wanaandamana kumpinga Samia?
 
Kwanza kwa nini ulihisi watapata madhara makubwa... Jee uliona watakuwa wamestahili kwa madhara ambayo wangeyapata kama wangeandamana?

Hii hoja kwamba watu tunataka wote tuwe na mawazo yanayofanana huoni kama Iko zaidi kwenu nyinyi mnayoiunga mkono Serikali?

Wewe ungesikia vijana wa CCM wanataka kuandamana kumuunga mkono Samia ungetoa tahadhari hiyo Kwa vijana waliokuwa wanaandamana kumpinga Samia?

Mimi - nilichambua haya maandamano kwa kuangalia maslahi ya VIJANA haijalishi CCM au GEN Z.

Niliweka uchambuzi kwakutumia my instincts (gut)

Kuwa CCM inapofika wakati wa uchaguzi wanaweza kakupa Kila kitu na sio dola.

Nikasema kuandamana wakati wa Uchaguzi itawafanya wapanic na kutumia nguvu kubwa ambayo itapelekea mauaji makubwa .

Nilishare taarifa hii X (Twitter) tarh 28/10 Ahsubui .

Nasikitika waliniita CHAWA na wakasema Jeshi lipo upande wa raia litawalinda.

Mimi niliamua kuacha mambo yaende autopilot Ila ndugu zangu VIJANA waliokuwa DSM na mikoa yenye tension niliwaambia wachukue tahadhari Mapema.
 
Jee hiyo tabia ya CCM ya kutokutaka kutoa dola Kwa njia ya kidemokrasia ni halali?

Maandiko yako wakati wote huwa yanaonesha uhalali wa CCM kutumia kila njia kubaki madarakani.

Kubali Kuna watu wanaona njia inayotumiwa na CCM kubaki madarakani ni haramu.
 
Back
Top Bottom