Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,405
- 114,843
lazima ucheze kutokana na beat, uwezi cheza miondoko ya singeli kwenye rege 😂halafu ukitoka hapo unaenda kwenye uzi mwingine unaandika 'tafta hela'
lazima ucheze kutokana na beat, uwezi cheza miondoko ya singeli kwenye rege 😂halafu ukitoka hapo unaenda kwenye uzi mwingine unaandika 'tafta hela'
[emoji3][emoji3][emoji3]Kutafuta ajira [emoji23]
Nakazialazima ucheze kutokana na beat, uwezi cheza miondoko ya singeli kwenye rege 😂
naunga mkono hoja.Nakazia
Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua
Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)
Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu
Madhaifu yake
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28
- Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
- Hana pesa kabisa
- Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
- Ni mpole
- Hana dharau
- Anajali
Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu

Ukitaka kuziona hizo kwenye Telenovela na tamthilia za kifilipino. Wanawake wa siku hizi wengi wao hawataki hata kuanzia chini na mwanaume anaye jitafuta/mpambanaji.Japo wanasemA mapenzi sio pesa ila zikikosekana yanapungua
Hivi inawezekana kumpenda mtu ambae hana kitu chochote namaanisha hana chochote ( Apeche alolo)
Haswa kwa wadada hivi unaweza kumpenda mwanaume ambae hana kitu na wewe umesoma una elimu nzuri ila huna kazi upo kwenu
Madhaifu yake
-Ana umri wa miaka zaidi ya 28
- Hana elimu ( hajui kusoma wala kuandika
- Hana pesa kabisa
- Anakaa kwa watu ( anachunga ng’ombe)
Sifa zake
-Anamcha Mungu (Anaimba sana mwaya kanisani anasauti nzuri yaani anajua anajua tena)
- Ni mpole
- Hana dharau
- Anajali
Jamani mapenzi ni kokote je Kuna mdada aliewahi kumpenda mwanaume wa hivyo humu
Ukinipenda sababu nina hela, hivi hela zinakua zina uhusiano gani na mimi? HannahHuko kumpenda “bila sababu” ndio sababu yenyewe.
Yaani uhalisia wa mapenzi upo hivi.
Kuna kupendwa kweli yaani moyo umependa bila kujali una hali gani ya maisha. (Nahisi ndio huko kupenda bila sababu).
Halafu kuna kupenda kwa sababu ana kitu. Hapa ni either iwe ana hela au ana tako au ni handsome au beautiful nk.
Ukinipenda sababu nina hela, hivi hela zinakua zina uhusiano gani na mimi? Hannah
Inakuwaje basi wengi wenu nyie wadada mkipata wanaume wanaowahudumia vizuri Kipesa, mara nyingi huwa mnaishia kuwapiga na vitu vizito vyenye ncha kali, yani mfano kama mm nina hela na ninakuhudumia vizuri, mara nyingi utanisaliti na mwanaume ambaye hana hela tena wazi wazi huku ukiniona lofa HannahHizo hela zako hizo zinakuwa zinanipandisha midadi. Na kwakuwa wewe ndio mmiliki wa hizo hela lazima niishi na wewe vizuri yaani nikupende ili niendelee kuishi maisha bora.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahKwa hiyo MTU Kama Mimi nisiye na elimu ni dhaifu??
Asante Kwa dharau na kejeli zako.
Tafuta WA kuendana na wewe.....!
Nakaziaaa!!!upendo haubagui hauchagui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka amekutongoza ujue kaona mnafanana, wanaume huwa tunatongoza wanawake tunaowamudu ...
Kwa hiyo hio ni type yako kabisa
Umemalizaaa dear!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko kumpenda “bila sababu” ndio sababu yenyewe.
Yaani uhalisia wa mapenzi upo hivi.
Kuna kupendwa kweli yaani moyo umependa bila kujali una hali gani ya maisha. (Nahisi ndio huko kupenda bila sababu).
Halafu kuna kupenda kwa sababu ana kitu. Hapa ni either iwe ana hela au ana tako au ni handsome au beautiful nk.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eleza kwa undaniii zaidi.Kumpenda nimewahi ila kuwa naye ndo kitu siwezi fanya. Nampenda kwa bluetooth.
Paragraph ya mwisho, umetishaa mnoooo.Mambo Muhimu:
Wanawake sio wabaya kuangalia mahali pana unafuu, Hiyo ni calibar ya mwanadam, maana wana maitaji yao, na ni kawaida kabisa.
Mwanamke anaweza kupenda Mwanaume asiye na kitu kabisa, ila ataona potential ya mtu na character njema na atavumilia kukua naye.
Mategemeo yake ya ukuaji wa huyo mwanaume kama hayatatokea baada ya uvumilivu wa mda, kuna mawili:
1. Kama ni yeye ndo ana uwezo na kumlisha, Hakuna namna mwanamke atavunja ndoa either kwa vitimbi na zarau, au kwa macho makavu.
2. Kama jamaa ndiyo analisha familia, atakaa mwanamke, kwa sababu kwani ataenda wapi, atangoja tu hivyo hivyo.
Mwanamke akiwa na uwezo hawezi kukaa milele na mwanaume asiye na pesa, na hata akikaa, mwanaume lazima azime fegi, awe mpole na a negotiate.
Sasa (kwa sauti ya Lisu) :
1. Hayo yote niliyoyasema hapo juu hayamfanyi mwanamke awe mbaya, ni asili, ndivyo walivyoumbwa. Hili halibadiliki.
2. Mwanamke ameumbwa na akili ya kuhudumiwa na mwanamke, anaweza kusaidia, ila hawezi kuwa chanzo au wa kutegemeka 100%
3. Mwanamke ameumbwa kuwa protected, kulindwa, kutetewa, na kuwa covered na mwanaume vizuri you cant change hii order.
4. Mwanamke anapokuwa na fedha zaidi, power na Elimu, mind set yake (bila kujua ina assume power & control), atataka amwongoze mwanaume (Hapanl ni shida)
5. Ndoa imepewa mtazamo na standard fulani na jamii na wazazi, ukifanya kinyume utapata pressure lazima lazim.
Hatari kabisa kabisa : mtanipinga:
1. Usiolewe kabisa kabisa na mtu desperate asiye na mwelekeo kimaisha wakati wewe una mwelekeo, labda uone potential ya kuwekeza kwake ukitegeme ata turn over the table: possibility : 1%
2. Mtazamo binafsi: Kama utakuwa ni graduate, angalau elimu ya chini sana ya kuolewa na mwanaume, angalau awe amefika form 6, ingawa hapo bado yaweza kuwa changamoto.
3. Mwanaume ambaye hana fedha au chochote hana maamuzi, usichukulie tabia yake kama ni permanent, kuna watu wamewekeza kwa wanaume nq wameachwa na makovu mabaya sana.
Inakuwaje basi wengi wenu nyie wadada mkipata wanaume wanaowahudumia vizuri Kipesa, mara nyingi huwa mnaishia kuwapiga na vitu vizito vyenye ncha kali, yani mfano kama mm nina hela na ninakuhudumia vizuri, mara nyingi utanisaliti na mwanaume ambaye hana hela tena wazi wazi huku ukiniona lofa Hannah