mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
- #141
huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi kwanza mwisho wa mwaka anauhakika wa kupata chochote ,we navyeti vyako huna chochote unamiliki begi la lipstick vyeti vyako vinaliwa na mende kabatini,kusoma sio kuwa na maarifa.hujiulizi babu zetu hawakusoma lakini waligundua moto, jiulize walipataje akili kwamba tukipikicha vijiti viwili ulindi na uwimbombo tutapata moto,na kipindi hicho hakuna shule? nakwambia huyo mchunga ngombe anakuzidi vingi sana,usimu dharau hata hawa wanaovumbua teknolojia wanaelimu ya kukalili kama wewe,NB unaweza kuwa huna elimu dunia lakini una maarifa mfano binadamu asiye na digrii alivumbua ndege (wright brothers),moto kwa kupekecha vijiti viwili,zana za chuma kama vile visu,hawa hawa ambao hawana digrii ndo wamekuzaa wewe,wameza majiniz wa technolojia,matajili wa dunia..pesa kwanza vyeti ni uchafu
Halafu niliweka mabano hapo kwenye elimu zingatia mkuu… mimi sihitaji degree yake but at least awe na Ka uelewa kwa mbali sasa kama mtu hawezi kusoma hata jina langu tunaishi vipi au hawezi kuandika hata jina lake tunaishi vipi….. a e i o u hazijui mkuu tunaishijee