Mr Suggestion
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 605
- 315
Tuachane na mambo ya kuombana misamaa au wabunge wamesema nini, Twende kwenye gate collection mara baada ya kupandisha nauli. Mwanzo walisema wanapata M9 kwa siku na mara baada ya kupandisha nauli kwa 100% sasa wanapata takribani 18M. lakini wadau tukumbuke magari maguta na bajaji zimepanda zaidi ya mara mbili, so sitegemei gate collection kupanda mara mbili ya zamani. kimsingi sipingi ongezeko la nauli wala sipo upande wowote kati ya wabunge na Magufuri ila kilio changu ni jinsi tunavyoibiwa na hawa jamaa