Nathubutu Kuuza Sura JF

Nathubutu Kuuza Sura JF

wauza sh ngapi, nahisi dau lahitaji kuongezeka isiwe nusunusu
 
Karibu sana kadoda11 kama vipi kajiandikishe kwa Mtambuzi!
Huko huru lakini white hisikose kama huto jali!
dah mkuu siwezi kukudanganya,sitaweza kuhudhuria.natamani sana ingekuwa hivyo ila kwa sasa nipo mbali huku...sisi wengine tutakuwa hapa jf kusoma mrejesho wa baada ya party.
 
Yaani wewe mkaka umeona tutafurahi sana kuona hivyo vimitumba vyako na ndo nini kutuficha uso wakati umedai unauza sura yako hapa hebu endelea kuiotoa tuione kama hutaki sema sitaki kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Preta jibu swali la Donn anataka awashie utambi kwako
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe mkaka umeona tutafurahi sana kuona hivyo vimitumba vyako na ndo nini kutuficha uso wakati umedai unauza sura yako hapa hebu endelea kuiotoa tuione kama hutaki sema sitaki kadoda11
mmh!! bibie mbona umekuja na moto namna hiyo.embu pumua kidogo.mweee...
 
attachment.php


Na mie nimeona niuze sura, hapa ni wakati ule nikiwa kijijini LONGIDO.........
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    48.4 KB · Views: 92
umeniboa kwa kutokunionyesha sura yako halisi umeificha kwanini au unataka tuiione siku ya White Party nini halafu nenda kabadilishe hizo nguo hasa hiyo ya juu haijakutoa kabisa hiyo hiyo ya chiini ni mwake hapo bigup kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha ya mwanzo mbona umenyanyua suruwale hapo mbele..... Kulikoni......?
ninapotaka mimi ni hapo tu,
ninapotaka mimi ni hapo tu.....
Preta unakafahamu haka kanyimbo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom