kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Wana wana Chit Chat na wana JF kwa ujumla nimeamua kuuza Sura rasmi Jf.nashauri na wengine waige mfano wangu.Hii itakuwa rahisi kutambuana huku mitaani/mijini kuwa huyu/yule ni mzee Mtambuzi Madame B figganigga Zion Daughter gfsonwin cacico nk.