Nahisi nimekuelewa mkuu...!Ewaaaa....nadhani alimaanisha hivyo. Labda walikuwa wanaishi katika ndoa iliyofungwa kiserikali au kimila, sasa wanataka kuibariki iwe ya ki-Mungu.
Hapo nitakukatia rufaa King'asti...kabila gani kwanza......LOL<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/dance.gif" border="0" alt="" title="Dance" smilieid="161" class="inlineimg" /><img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/dance.gif" border="0" alt="" title="Dance" smilieid="161" class="inlineimg" />
Mimi naomba niwekwe kwenye kamati ya mapokezi.......maana na mimi nitapta fursa ya kuchagua wangu
We ulitaka!!?Haya basi nafupisha maneno....NN SIMTAKI!
<br />Ngoja nim-Pm Rev kumpa taarifa kuwa kuna watu wengine wameongezeka,naomba kama utamwona Invisible huko mtaani mwambie Dena na sizinga wanahitaji wanakamati.
Duh wazibua mifereji utawajua tu, mh sina la kusema ngoja wanyeshewe mvua ya m............vi ndo watakoma kulinga.Madai yao eti nyumba choo!!!
Uwiiiii krolokwini ana washa ukimkunywa, duh naogopa kuwashwa ndunguyangu.Wametengana na Lizzy ila mpaka tarehe ya ndoa itakapofika itakuwa tayari wamepatanishwa.
Vipi Krolokwin hakufai???
Haaaahaaaaaaaaaaaaa jamani mnanionea kwa hiyo mi ndo nafukuzia hivyo, yani mi naomba pasta na lizzy mambo yasikae sawa ili niwe mama mchungaji, na kihitaji sana hicho cheo.Mkuu,naomba m-pm mamushka, hii avatar inamfaa sana. LOL
Kati ya Uporoto na Cheusi Mangala, Max Melo na Miss Judith, Mama Groly na Dr Phone, Afrodenzi na Nyani Ngabu, Buji Buji na Blackberry.
Kwa maelezo zaidi M-Pm Rev Masa ambaye atabariki ndoa hizo pia Natangaza ndoa kati ya Faiza Foxy na Mohamed Shossi, kwa maelezo zaidi M-Pm Sheikh Malaria Sugu (MS) ambaye atasimamia ndoa hiyo.
Ndoa zote zitafungwa hivi karibuni, nafasi za wanakamati ziko wazi na wana MMU mnaruhusiwa kugombea.
Long live JF married.
Itabidi tucheki kwanza na resident reverend wetu hapa.
Nyie muwe mnamegana kwenda mbele!
Duuhhhh
Ndio baraka zimEanza au???
tuikiajE "Amen"????
Muone vile....umefuraaahi mwenyewe kusikia Rev anasema tukamegane eeeh?
kwani mie naenda na wewe
unaingilia nini??? mmmhh
Kheeee sasa kumbe na nani?
Nilikuwa sijaiona hii
Hii ni ndoa yenye mikosi.....