mbagokizega
Senior Member
- Oct 22, 2016
- 111
- 297
aisee kumbe haya mambo hata watz tumo.dah hongera saaana
Sio supersport Africa hizo. Ni za ulaya kama cjkosea Albania au urusi urusi huko.Aisee. ....we jamaa ni mkali.
Nimejaribu inapiga mzigo fresh kabisa.
Haya tuhabarishe kuhusu gharama maana dunia hii ya viwanda hakuna cha ubwerere, vipi matumizi ya bundle lakini pia multchoice watakuacha salama na hizo supesports zao??
Dada wa kazi akishika simu ya mama mwenye nyumba, kla knachomjia kichwan anaona sawa tu.Mleta mada asante kwa huduma yako, ila na wewe umekuwa kama muheshimiwa mtukufu umeweka local channel ambazo hazionyeshi, kama bado unazifanyia matengenezo si uziondoe kwanza kwenye menu zikikamilika ndo uzirudishe 🙄🙄
Dah kaka hilo jibu lako mwisho kabisa umeona nastahili kupewa?Umedandia post uzeeni. Anza nayo mwanzo kabisa. Nadhani utaelewa tu
Boss tufanye biashara uniuzie huo mradi [emoji39]KTN tumeweka
hahahaha kamata gursa twenzetuBoss tufanye biashara uniuzie huo mradi [emoji39]
Mkuu jumamosi leo, watu wa Windows Phone tunasubiriKTN tumeweka
Uuuuwihh umeuwa Mkuu, amedandia post uzeeni, mbavu zangu jamaniUmedandia post uzeeni. Anza nayo mwanzo kabisa. Nadhani utaelewa tu
Kiongozi naomba uvute subira kidogo, kwani tunafanyia kazi kwanza maoni tuliyopewa then tutaiachiaMkuu jumamosi leo, watu wa Windows Phone tunasubiri
Download hii attachmentWadau mbona hiyo link imeleta mafile tu
Hiyo application inaotwaje?
Haipo play store?
ImekubaliDownload hii attachment
Unaobonyeza channel unayotaka then unaisubiri kidogoView attachment 426278
Sijaona ht channel moja ikionyeshaau kuna lingine cha kuinstail!?
NimekuelewaUnaobonyeza channel unayotaka then unaisubiri kidogo
Mkuu unatumia app IPI? Nam pia natumia aina hyo ya sim ila cpatiMi natumia techno W4 naangalia azam bila tatizo lolote