Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Nmetumia ipo njema wakuu...Ila local hazipo active bado.
 
Napata burudaaaaaaaniiiiiiii na kitekno changu cha c8 channel zote zipo vizuri sanaa unastahili nyota tano mkuu kwa kutuletea app nzuri kama hii

Fanya addution ya superbrand channel I. T. V hapo utakua umeua
 
Hapo zinafunguka za azam tu.
Hebu chek hizo za itv.. Star... Ten... Eatv.... Hazifunguki
 

Attachments

  • Screenshot_2016-10-27-12-59-50.png
    Screenshot_2016-10-27-12-59-50.png
    10.9 KB · Views: 62
Ni kweli hizo local channels zilizongezwa hazifunguki ila azam
 
Me kwangu jana imefunguka super spot3 Baada ya hapo hakuna channel inayofunguka Tena
 
La msingi ni kushukuru kwanza kwa kidogo alichofanikisha.tumuombee uzima atupe na ziada.
 
Back
Top Bottom