Una haraka kasema anashughulikia vuta subira usikerwe na vitu vidogo je akikwambia imeshindikana?Mleta mada asante kwa huduma yako, ila na wewe umekuwa kama muheshimiwa mtukufu umeweka local channel ambazo hazionyeshi, kama bado unazifanyia matengenezo si uziondoe kwanza kwenye menu zikikamilika ndo uzirudishe 🙄🙄
Isingekuwepo kabisa ungesema nin?.jaribu kuwa na shukrani kwa kile kidogo unachopata by the way anatumia muda wake mwingi kwa ajili ya wengi.sasa wewe ukiona huridhiki usiipakue[emoji41]Mleta mada asante kwa huduma yako, ila na wewe umekuwa kama muheshimiwa mtukufu umeweka local channel ambazo hazionyeshi, kama bado unazifanyia matengenezo si uziondoe kwanza kwenye menu zikikamilika ndo uzirudishe 🙄🙄
Mleta mada asante kwa huduma yako, ila na wewe umekuwa kama muheshimiwa mtukufu umeweka local channel ambazo hazionyeshi, kama bado unazifanyia matengenezo si uziondoe kwanza kwenye menu zikikamilika ndo uzirudishe 🙄🙄
Na mimi nimewaza hili aisee, ningemtumia hata ya maji ya kunywa tu,ajipooze baada ya kazi.we jamaa ni bonge la genius, hamna namna tunaweza kuchangia kazi yako?
Mm sijafanikiwa bado Msaada MkuuJamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Umedandia post uzeeni. Anza nayo mwanzo kabisa. Nadhani utaelewa tuApplication inaitwaje na nahipataje