Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Hili tatizo la Azam two kukata kata wakati wakionyesha mpira ni kwangu tu pekee au na wengine mnapata hili tatizo
 
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Mkuu nimefanikiwa kuiweka ktk simu shida ni kuwa chaneli za Azam tu ndio zinaonyesha nyingine hazifungui kbs.
 
SAFI SANA MKUU, BUT ONGEZA LOCAL CHANEL BILA KUSAHAU ITV, STAR TV. IREKEBISHE IWEZE KUJAA KIOO KIZIMA.
 
Sasa kwa wale ambao simu zao hazikuweza kuplay au wapo katika network iliyo slow mnaweza kutumia alternative player kutazama Tv channels, Bonyeza Menu kisha utaona sehemu imeandikwa Alternative player
Local Chanel, move hazishiki, na hyo alternative player inasema haipatikani... Msaada plz
 
Back
Top Bottom