Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Mkuu, much RESPECT! Kinachofurahisha zaidi ni kwamba no complication in installations and use... is like installing Facebook App na kuanza kuitumia on the spot! Ukishamaliza kila kitu, geukia possibility ya kuweza kutumika hata kwenye PC!
 
Aisee. ....we jamaa ni mkali.
Nimejaribu inapiga mzigo fresh kabisa.

Haya tuhabarishe kuhusu gharama maana dunia hii ya viwanda hakuna cha ubwerere, vipi matumizi ya bundle lakini pia multchoice watakuacha salama na hizo supesports zao??
 
sawa kiongozi nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na pia baada ya siku chache nitaiweka play store, kwa hiyo hizo karaha zitaondoka
Hongera na ahsante mkuu,maana hawa azam walishajifanya wajanja kwa kuondoa live stream hadi ulipie kwa visa card ndio uione!
 
Sawa kiongozi kwenye pc itakuwa tayari kuanzia jumamosi ijayo, ahsante kwa ushauri
 
mi nimeidownload hyo aplication lakini inaload then inaacha bila kufungua chanel yoyote ile,sijuo kuna shida gani na mtandao upo poa,natumia galaxy note 2
 
Nikienda kwenye link inaniletea message hii
4ce1dfff8479cc60b5de584f7e15110e.jpg
 
mkuu matangazo sasa ndo hofu yangu siku za usoni yasiwe mengi
 
Back
Top Bottom