Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
nimejaribu ila Chrome haisapoti nifanyeje?
 
Tumpe muda jamaa azitafutie ufumbuzi hizo local channel kama itv, star tv, n.k maana kazi sio ndogo aliyotufanyia na ninaimani atafanikiwa na channel za bongo zitaplay vizuri tu, tumpe muda
 
Tumpe muda jamaa azitafutie ufumbuzi hizo local channel kama itv, star tv, n.k maana kazi sio ndogo aliyotufanyia na ninaimani atafanikiwa na channel za bongo zitaplay vizuri tu, tumpe muda
Kwangu hata hz azam zinaonyesha kwa vipindi,muda mwingine azifunguki,yote kwa yote mkuu ametufanyia jambo la maana sana,anastahili pongezi
 
Bonyeza Africa General, kutazama channel mbalimbali za Africa
 
Kaka tuongezee uhondo katika channel za Religion tuongezee ya Morningstar tv
 
Mkuu nakuunga mkono na mm. Na hongera sana. Naipakua hapa na ntawapa washkaji nao wapakue
 
Samahan bro huwez kuongeza kipengele cha favourite channels hapa namaanisha channel ambazo user anaziangalia mara kwa mara
 
Back
Top Bottom