Tunafanyia kazi, itakuwa fresh baada ya muda mfupiKwangu naona ZBC haina sauti inatoka picha pekee,ila ubarikiwe
ATN mbona haipoSasa TBC, ZBC na channel ten zipo live ndani ya Online Tv App, share application Hii kwa wengine. Simu yako, Tv yako
Ndugu Njoo pmSasa Morning Star ipo ndani ya Online Tv app, itazame kwenye local channels au religious channel. Simu yako, Tv yako
Mkuu tushukuru tu hizo hizo zilizopo mdau huduma yenyewe tunapata bure tukumbuke hizo channels ulizozitaja zinalipiwa ndugu.Chaneli zenu za super sport siyo zile tunazozijua za dstv kwanini
Mbona kwangu inagoma?bado naboresha, na kuhakikishia baada ya siku chache nitaongeza channel nyingine nyingi tu. Ahsante kwa mrejesho wako
Inagoma nini mkuu?Mbona kwangu inagoma?
Download hii attachmentMbona mm haikubari kudowload
Imekubali ikopoa sanaDownload hii attachment
Dah! Mkuu sisi wa Windows Phone unatusaidiaje?Download hii attachment
Itakuja naomba usubiri, Tupo tunashughulikia kwanza maoni tuliyopewa kisha tutaiachiaDah! Mkuu sisi wa Windows Phone unatusaidiaje?
vipi Chanel za itvItakuja naomba usubiri, Tupo tunashughulikia kwanza maoni tuliyopewa kisha tutaiachia
Itakuja tunafanyia kazivipi Chanel za itv