Yarabi..!!! Ama kweli kwenye msafara wa Mamba na wale jamaa wapo. na ukishangaa ya
#TeamBazazi utastaajabu ya
Mr Rocky. Umehamia lini
#TeamBazazi mwanawane?
Ntuzu,
ladyfurahia,
kiwatengu Khantwe,
Mentor tafadhali husika na hii comment apa chini. ndugu
Kaizer,
Asprin na
mwekundu huyu ni ndugu yenu wa damu kabisa. Aisee fanyeni utaratibu mumkaribishe mwana mpotevu nyumbani. Mumchinjie Pweza kabisa maana ng'ombe bei ghali sana siku hizi na pweza itamsaidia sana kwenye shughuli zake pendwa, huyu hana haja ya joho, mfungeni tu msuli baaasi.