Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Ahaaaa... haina neno... Ngoja nimtafute miss chagga nilobi nae kwanza.
Ewaaa. miss chagga come zis way
Last edited by a moderator:
Ahaaaa... haina neno... Ngoja nimtafute miss chagga nilobi nae kwanza.
Mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga
Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yule
miss chagga anajisikia vibaya kwa leo hatoweza kujoin na weweAhaaaa... haina neno... Ngoja nimtafute miss chagga nilobi nae kwanza.
sinaga urafiki kwenye mambo hizo mkuu Tized hata hivyo kwenye issue kama hizi kaa mbali sanaMkuu unaninyanyapaa waziwazi hivyo? Ila kwa kuwa nimeshakabidhiwa, haina neno nilitaka tu political acceptance.
miss chagga taratibu bana mbona unaongea kwa sauti sana mpaka wengine wasikie si unamuona Kaizer hapamimi kiboko yao unaenda lakini utarudi
miss chagga taratibu bana mbona unaongea kwa sauti sana mpaka wengine wasikie si unamuona Kaizer hapa
Afadhali maana unapiga kelele mpaka mwenye nyumba aamke wakati hatakiwi kuamka
Huyo Kaizer mwangalie vizuri akilewaga huwa akili za juu zinahamia chini na anakuwa kama mbogo aliyejeruhuwa angalia tuu
Haha Mr Rocky huyu miss chagga ananifahamu uzuriii
Afadhali maana unapiga kelele mpaka mwenye nyumba aamke wakati hatakiwi kuamka
Huyo Kaizer mwangalie vizuri akilewaga huwa akili za juu zinahamia chini na anakuwa kama mbogo aliyejeruhuwa angalia tuu
wanatafuta ujiko tu Kaizer ananifahamia wapi anataka kukupa presha mume wanguMhhh naanza kuwa na wasi wasi na miss chagga mpaka Kaizer anakufahamu hivyo kuna kitu hapa
Na ukija huku Ntuzu nae anakufahamu na Tized anakufahamu na yule nani hii na nanni hiii na nanihiii na nanihiii na nannihiii nae anakufaham vizuri sasa napata wasi wasi
Kaizer ni shideerr akilewa tuu mambo yote utayasikia na akili zake zinahamia kushoto zotemmmh huyu kumbe ni shida Kaizer nipe hela yangu ya nauli kabisa ukianza kutumia akili za chini mimi niondoke
wanatafuta ujiko tu Kaizer ananifahamia wapi anataka kukupa presha mume wangu
Kaizer ni shideerr akilewa tuu mambo yote utayasikia na akili zake zinahamia kushoto zote
nakuangalia tuu miss chagga ila kuwa makini na maneno ya watu kama akina Kaizer yatakuharibia bana
Nimwite Dena Amsi?
Mbona ushamwita tayari sasa na hapa hatuna wasi wasi maana tuko sebuleni tunaongea