natamani taja majinina yooote....

natamani taja majinina yooote....

yaaini kwangu sijui kama ataweza kumudu maana anajua kuwa mm ni komandoo nisiye na mchezo
akichepuka tu namkung'uta kwa bakora mpaka anatokwa na :A S-eek:

Hahahaha sasa wewe tukupe nani ukitangaza makonde humpati mtu ujue
 
nimemuandalia chakula hichi kama atapenda kula ale View attachment 172965
Yarabi..!!! Ama kweli kwenye msafara wa Mamba na wale jamaa wapo. na ukishangaa ya #TeamBazazi utastaajabu ya Mr Rocky. Umehamia lini #TeamBazazi mwanawane?
Ntuzu, ladyfurahia, kiwatengu Khantwe, Mentor tafadhali husika na hii comment apa chini. ndugu Kaizer, Asprin na mwekundu huyu ni ndugu yenu wa damu kabisa. Aisee fanyeni utaratibu mumkaribishe mwana mpotevu nyumbani. Mumchinjie Pweza kabisa maana ng'ombe bei ghali sana siku hizi na pweza itamsaidia sana kwenye shughuli zake pendwa, huyu hana haja ya joho, mfungeni tu msuli baaasi.
 
Mbona nasingiziwa aise mara niko #teambazazi ya akina mwekundu, Kaizer, Asprin hakuna kitu kama hicho. Cheti changu cha ndoa kiko wazi kabisa kuwa ndoa yangu inaweza kuwa potential polygamy ndo maana my wife wangu Dena Amsi hana wasi wasi na miss chagga japo anajua kabisa kuwa miss chagga ni mchepuko na yeye Dena Amsi ni nyumba kubwa milele. Mbona mnanilazimisha kuwa kwenye team ya hao wasiokuwa na ndoa imara na wenye mixhepuko kibao
Cc Ntuzu, kiwatengu, Tized
wacha wajionee kwa vitendo wenyewe cc miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Afu wewe hiyo ndoa ya Tized na Dena Amsi uliifunga wewe mpaka wakataane


Mwambie huyu Ntuzu maana yeye hajui hayo na hajui awali ni awal;i na hakuna awali mbovu



Ngoja tuone kama hata mwezi utaisha kabla kibuti hakijalia na utarudi hapa kutuambia haya haya kuwa mhhh nilikosea kumbe hata Khantwe anaachika



Khantwe wangu haachiki bana ataachika Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
hata anavyotembea anatembea style yetu= huyo ni bwana Petro anajaribu kutukana lakini matendo tu yanamuumbua


Hakuna kitu kama hicho bana matendo ya team yenu huwa hayafichiki kwa hiyo kwa mimi siko huko kabisa
 
Tized analazimisha kupendwa wakati hata chembe ya kupendwa haipo na akakutana na mke wa Mr Rocky mwenye kila aina ya uzuri na msimamo akajua atapata kirahisi
Angejua hapa hapati kitu asingejiahangaisha
nakupenda sana my wife wangu Dena Amsi na hakuna mfanowe kama wewe Tized chungulia chungulia huenda mwallu au Khantwe akaachika ukampata ila kwa Dena Amsi hupati kitu
kiwatengu sitaki kutokea kwenye gazeti lenu la udaku bana mimi nina ndoa imara sana Kaizer uache zako wewe na team bazazi wenzio Asprin na mwekundu mimi niko #teamrafiki bana
Cc miss chagga na Tized na Ntuzu

mume wangu acha kujisifu watakuiba ujue
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom