Napokupendea ni hapo tu sweetheart. Yaani Mr Rocky akisoma hapa hatakaa aelewe mchezo wetu. Love you mingi mingi dearest.
CC Kaizer, Ntuzu, miss chagga
Sisumbui muda wangu na akili yangu kumfikiria mtu anayeota mchana akiwa anatembea Tized hivi ukimaliza kuota huwa unafanya nini maana naona ndoto zako ni ndefu mpaka zinatengeneza kitabu Dena Amsi my wife wangu nakupenda sana sana na ni wewe tuu umejaa moyoni mwangu
cc Ntuzu Khantwe, Kaizer
Last edited by a moderator: