Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Mkuu Rocky Dena Amsi ushamkosa huyo!
Tafuta mke mwingine Aise!
Tized kamatia hapo hapo Mkuu!
Tafuta mke mwingine Aise!
Tized kamatia hapo hapo Mkuu!
Mhhh naanza kuwa na wasi wasi na miss chagga mpaka Kaizer anakufahamu hivyo kuna kitu hapa
Na ukija huku Ntuzu nae anakufahamu na Tized anakufahamu na yule nani hii na nanni hiii na nanihiii na nanihiii na nannihiii nae anakufaham vizuri sasa napata wasi wasi
Last edited by a moderator: