KWA TAARIFA YAKO SIOGOPI TINDIKALI, GOBORE WALA BUNDUKI KWANI MM MWENYEWE NIMEKAMILIKA
HVYO KAA UJUE KUWA UNASAKWA NA FBI WA :A S crown-1: HATA HUYO Ntuzu ANAJUA HILO KWANI YEYE NDO MFICHAJI WANGU ANGALIA NISIJE NIKAKU :moony:
Mhhh hivi huo ubraza wako na Ntuzu umesajiliwa under sheria ipi aise Honey Faith
Unauliza makofi polisi na hutakayaa uyapate kamwe ila utakapotoka na manundu pale ndo utajua kuwa polisi huwa wanapiga makofi
miss chagga mzima wewe
Hebu kamsaidie bi mkubwa kutengeneza juice bana unafanya nini hapo sebuleni muda huu
hakunaga limbwata hapa mwekundu ni mapenzi tuu ya kawaida banahivi opposite ya kupigwa limbwata na mwanaume ni nini?
miss chagga hebu muangalie huyu anasema eti kuna dawasijui umemlisha dawa gani za kikongo?
hakunaga limbwata hapa mwekundu ni mapenzi tuu ya kawaida bana
miss chagga hebu muangalie huyu anasema eti kuna dawa
KANONENONE hiyo ndio dawa aliyokupa miss chagga Yani hapo hutoki ata uvutwe Na CRANE ZA BANDARINI!
KANONENONE hiyo ndio dawa aliyokupa miss chagga Yani hapo hutoki ata uvutwe Na CRANE ZA BANDARINI!
kabanga nikome tena komaAnauza maji ya karatasi kariakoo mtaa wa kongo piga mahesabu mwenyewe city wakichachamaa biashara imelala na mvua ikinyesha boashara hakuna kila siku utakuwa unalala njaa
miss chagga hebu njoo huku umsikie kabanga anasemaje
Hebu nifafanulie kwa uwazi huyu anasemaje hapa maana sijamuelewa vile
kabanga nikome tena koma
Mimi na familia yangu tunakupenda sana miss chagga jamani