Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,099
- 127,834
wewe nawe mke mwenza hupitwi haya basi ndo hivyo bestito
Sasa je....si ungesema niwe nakuazima mara mojamoja? Mwenzio miss chagga huwa anapozwa kidogo
Last edited by a moderator:
wewe nawe mke mwenza hupitwi haya basi ndo hivyo bestito
Sasa je....si ungesema niwe nakuazima mara mojamoja? Mwenzio miss chagga huwa anapozwa kidogo
asante bestito nitashukuru sana ubarikiwe
na karibu tena
Sasa je....si ungesema niwe nakuazima mara mojamoja? Mwenzio miss chagga huwa anapozwa kidogo
naona unataka nimchukue mazima
naona unataka nimchukue mazima
kabanga? Ataanzia wapi...
[MENTION=138139]Mr/MENTION]Rocky aliivunja Erickb52 eti alisema haikuwa active.Hivi kwani ndoa yangu na Dena Amsi ilivunjwa na nani aise mpaka ukabidhiwe wewe Tized
Maana hakuna sehem hata moja nilideclare kuwa ndoa yangu imevunjika na kukkabidhi talaka mke wangu Dena Amsi
Hii ndoa ina miaka kadhaa humu na haivunjiki kwa maneno tuu muulize Kaizer na Nicas Mtei na Arushaone wanaijua pia na huyo kiwatengu
Hakuna kitu kama hicho katu kamwe mimi na mr rocky mwanzo mwishoMr/MENTION]Rocky aliivunja Erickb52 eti alisema haikuwa active.
Khantwe, hivi ukoje lakini...? si uelewane na mwenzio miss chagga...?
mimi nitaanzia kwa mwanao janeth1....
nimeshamwambia pakuanzia....