mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,475
- 21,046
Last edited by a moderator:
mwekundu acha umbea hata siumiii nimekwama hata sioni Mr Rocky utuachewacha wajionee kwa vitendo wenyewe cc miss chagga
uhusiano haujafa bali ndoa ilikufa mamito
kwani kati ya miss chagga na Dena Amsi nani unampenda zaidi?
miss chagga mzima wewe
Mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga
Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yule
:A S-eek::A S-eek::A S-eek:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:
Umeona mtoto alivyo mharibifu huyu eehhh na anakuja hapa kusema eti anamtaka shemeji yake
Kweli kama kuna chuo wanatoa certificate ya kukataa undugu naomba nifahamishwe nikachukue cheti cha kumkataa Tized kuwa ndugu yangu
Njoo huku kwangu Mwanza utakula sn Hawa samaki! Achana Na huyo bazazi Mr Rocky
Hapa Mr Rocky hachomoki amefanana kila kitu Na nyie!