natamani taja majinina yooote....

natamani taja majinina yooote....

kabanga sio suala la kula ugali wa mchicha yeye miss chagga ni za Movenpick au Golden Tulip
Kama shoo ijayo ya Kasiime anatana umlipie ile siti ya watu8 akae na mashosti wake na uwanunulie kinywaji cha kuwatosha plus msosi
Halafu huwa hatembei kwa kigari kama vitz anataka vogue au Hammer kama ya Gwajima
Kama utaweza miss chagga yuko available
 
Last edited by a moderator:

Mbona unamtisha mwenzio au ndo wivu
 
miss chagga mi nilikua natembea nae kwa miguu mitaani kwetu kule Nyakato Mecco anapanda milima kwa miguu bila shida huyo!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer naona umechanganya madesa au kwa kuwa mchana huu ushapata ile kitu ya Arusha ndo uinaona nyota nyota aise Ntuzu alikuwa enzi zako ila siku hizi miss chagga kapanda bei sio yule wa kipindi kile
 
Last edited by a moderator:
kabanga sio suala la kula ugali wa mchicha yeye miss chagga ni za Movenpick au Golden Tulip
Kama shoo ijayo ya Kasiime anatana umlipie ile siti ya watu8 akae na mashosti wake na uwanunulie kinywaji cha kuwatosha plus msosi
Halafu huwa hatembei kwa kigari kama vitz anataka vogue au Hammer kama ya Gwajima
Kama utaweza miss chagga yuko available
Mr Rocky kwani hayo magari hapa mjini siyapo ya kukodisha kwa siku....! hamna shida kabisaaa....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
bora wewe cousin umeliona hilo maana hawa jamaa sijui niwaweke kundi gani vile? kweli hawajiamini hasa huyo kijogoo mdogo

Kuna Ntuzu na mwenzake Tized sijui wameibukia ukubwani kila wakiona kitu wanashabikia kama wanazi wa simya na yanga
 
Last edited by a moderator:
cousin ukitaka unichefue endelea kunitajia hilo jina la kwanza sifurahishwi nalo pls usiendelee kunitajia
kama unatext na mimi taja ukikoment wengine na si hilo

Kuwa tu muwazi....sema ukisikia jina la my king roho inakuuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom