natamani taja majinina yooote....

natamani taja majinina yooote....

Niko na Dena Amsi mdogo mdogo mutuwachage. We are breaking the fast.

Muwe na siku njema sana wakuu. Ntuzu, Mr Rocky, Kaizer, mwallu, Khantwe.... Dena Amsi sina haja ya kumensheni apa... niko na beibi anaandika iki unachosoma.. Mimi naongea tu yeye anataipu... kwenye mpakato bariiiiidi!!!.

Cheers!!

Unajua sometime kichaa si lazima avue nguo zote atembee uchi ndio umjue kichaa
Na sometimes unaweza kumpenda mtu huku domo lako ni zege kusema wazi unaishia tuuu kujipa sifa kuwa nishatembea na yule dada mzuri kumbe ni promo za kijiweni kupata ujiko
Siendelei tena Tized pole sana

Mie Leo mpole kabisa.....zaidi ya hua

Ooh....kumbe.....Uwe unanitaja maeneo mazuri mazuri sasa
Kaizer ana hasira huyo nikikutaja yale maeneo mazuri anaweza hisi mengine ndo maana nakutaja kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
Mie Leo mpole kabisa.....zaidi ya hua

Ooh....kumbe.....Uwe unanitaja maeneo mazuri mazuri sasa

Ameshaanza hivyo huyo Mr Rocky

Mi sitaki kesi Ngoja nkae pembeni! Maana kapenda kuita jina Alafu yafate Na mengine lol!
 
Last edited by a moderator:
Mzee Wa Miamba umeumia!

Mkuu Ntuzu promo hizo hata kwenye magazeti zipo
Mganga maarufu kutoka sumbawanga kumbe katokea tandale kwa mtogole
Au msanii maarufu wa kizazi kipya kumbe hana hata single moja
 
Last edited by a moderator:
nimesikia naitwa kuhukumu mtu

awali ya yote sijapewa daftari la kuhukumu bali kupatanisha
hivyo mamlaka ya kuhukumu anayo Judgement sio mm

Inashangaza unavyomsingizia binamu yangu kesi doubledouble kama sio couple

Nijuavyo mm binamu yangu Mr Rocky ana mke mmoja tu naye ni Dena Amsi sasa huyo wa pili katoka wapi?
wakati wewe una wake lukuki kama serikali ya tekweki

usitake kuniharibia cheo changu wakati cheo ni dhamana
Isome kwanza vzr kabla Katibu ladyfurahia hajakuhukumu au atakusamehe kwasababu wewe ni Binamu wake?

Lkn ubinamu huu uku mnazima taa!!!

Dena Amsi Kua Makini Na huu ubinamu!

Cc: Bulldog miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Unajua sometime kichaa si lazima avue nguo zote atembee uchi ndio umjue kichaa
Na sometimes unaweza kumpenda mtu huku domo lako ni zege kusema wazi unaishia tuuu kujipa sifa kuwa nishatembea na yule dada mzuri kumbe ni promo za kijiweni kupata ujiko
Siendelei tena Tized pole sana

Kaizer ana hasira huyo nikikutaja yale maeneo mazuri anaweza hisi mengine ndo maana nakutaja kimya kimya
Paroko wangu Kaizer ananielewa sana
Ameshaanza hivyo huyo Mr Rocky

Mi sitaki kesi Ngoja nkae pembeni! Maana kapenda kuita jina Alafu yafate Na mengine lol!
Kaka maadili mlonilea nayo Dada yenu sijayaacha
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ladyfurahia wewe ni binamu yangu wa ukweli na unasema kweli daima
Kuna mtu hapa anajiita Ntuzu haoni madhambi yake anaona ya watu tuu
Yeye kila mtaa ana mke ila anajiona mtakatifu sana na mwingine ni Kaizer yeye kila bar na grocery ana mtu ila wanajiona wako safi
Mimi kuwa na Dena Amsi imekuwa issue kubwa
 
Nyoosha maelezo miss chagga unamkana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom