Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Natamani na nawashauri wadada wote mvae shanga

Bosi, ni vile tu kwamba unapenda hizo vitu lkn haimaanishi kama mwingine hapendi ati hajui maujanja hapana mimi nakataa.
Kuna zile udambwidambwi siunajui kwenye kuchikuchi huku umezishikilia zile inaleta mushkir
 
Shanga bwana alafu ukute na stretch marks dah mi hoi[emoji3]
 
Shanga bwana alafu ukute na stretch marks dah mi hoi[emoji3]

Utamaduni wetu waafrika. Nimuhimu wadada kuuenzi, kuuzingatia na kufanya.

Hamasa kama zote.

Kule south Africa wazulu wanavalia hadharani tu
 
Dah me binafsi napenda sana shanga, nikiendaga club nikiwa na demu yani nikiziona tu shanga nachanganyikiwa kabisa na hata kama nilikua sina hisia za kumgonga basi zitakuja tu gafla. Nilishawahi kupitiliza kituo kisa tu niliona demu kavaa shanga
ee kitoi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom