Ndio, itakuwa...Utakuwa NCCR Mageuzi!
Ndio, itakuwa...Utakuwa NCCR Mageuzi!
Kuvaa shanga ndo kujua mapenzi[emoji23] wacha niendelee kuwa mshamba.We si mshamba hujui mapenzi.
Yaa mwanaume rijali lazima apende shanga ndo ugonjwa wetu.Dah me binafsi napenda sana shanga, nikiendaga club nikiwa na demu yani nikiziona tu shanga nachanganyikiwa kabisa na hata kama nilikua sina hisia za kumgonga basi zitakuja tu gafla. Nilishawahi kupitiliza kituo kisa tu niliona demu kavaa shanga
Aisee, sema ni vile binadamu tunatofautiana binafsi nimezishindwa.Hapana haihusiani na mauganga ivyo ni vitu vinavyompagawisha mwanaume vinaleta msisimko wa hatari
Na kwa nn nivae sasaKwanini huvai sasa?
🙂Mie nimependa hizo rangi za kucha tu..
Amenipa idea,nikitoa hii niliyopaka napaka kama hiyo
Bora asee maana wote mkivaa mimi ntakosa mke maana sipendi kuyaona kabisaWanakuja, binafsi siwezi kabisa kuvaa hayo makitu.
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 naona aibu hata kukujibuHupendi kuvaa shanga? Chain ya gold je?