Natamani kuvuta bange!

Huwa hiyo kitu inaongeza misimamo.
 

You need professional help/advice? You can PM me!
 
Weed is very relaxing bwana, mtu asikwambie. try it and all yo problems will disappier but just for a while.
 
Mi naamin itakusaidia bt kama ulvyo jarbu pombe ni vema nayo ukaijaribu maana inategemea kchwa cha mtu!
 
....Vutaaaa tu,asubuhi puli moja,mchana puli moja na jioni moja....
 

mmmmh!!jamani Smile
cha kukufikisha huko ni kipi mamito?!!
pole mwaya

 
Last edited by a moderator:
Sasa ww SMILE unataka tena nn!! Au safari hii unataka lia kama ndio hivyo chukua cha ARA, ila kumbuka sio wote wanaovuta wanapata furaha wengine huwa wanalia kabsa, nakushaur kama unataka kuanza jaribia nyumban kwanza maana unaweza ukawa kituko mbele za watu, mwingine anaweza kuona hata kuku akaanza kumshangaaa na kuvunja mbavu kama vile nikitu kigeni. Jitathmin SMILE.

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 

Emperor of the sea
A man called God
 
ruksa haina mathara tena ina starbelize sana tu, ila ukisha kuwa sawa hutaweza kuacha
Wenzio tunajuta na kujuta kwa nn hata nlijaribu maana siwezi kula kabla ya kuweeed
 
....once you learn the truth about the interaction of your objective and subjective minds, you will be able to transform your whole life. If you want to change external conditions, you must change the cause.

Most people try to change conditions and circumstances by working on those conditions and circumstances (anger,envy,frustrations,insomnia,boredom,low esteem etc). This is a terrible waste of time and effort. They fail to see that their conditions flow from a cause. To remove discord, confusion, lack and limitation from your life, you must remove the cause.

If you want to know the cause just give me a shout!
 
Hata kama akijitahidi kuficha sana, siku mtu akimtibua
Huwa inakuwa multiple massive explosions

Yani ukitaka maisha yawe shubiri, kutana na bosi mwanamke, hana mume alafu anajifanya mlokole kwenye hayo mambo. Ni kisirani fulu kuanzia asubuh had jioni. Lakini akute mutu wa kumsugua... kazini mtaishi kwa amani.
 
Don't try that Smile,your much better than that.....,

angalia hizo movie za Kikorea ulizoambiwa mi naongezea na IRIS...
 
Last edited by a moderator:
Tatizo si bangi.....tatito ni sababu inayokupelekea kuvuta. Vitu kama bange vina kiasi ambacho usipozidisha haviwi na madhara makubwa. Kutokana na hiyo sababu yakutaka kuvuta ili urelax inawezekana ukajikuta siku zinavyoenda unaongeza kiasi cha kuvuta kadri unavyoizoea na kukupelekea kuwa marijuana addict.
 
Bangi ni mzuka sana mi nakushauri itumie tu,tena ukitaka ufaidi uwe unajiuza alafu unatoa KABANG,utaenjoy sanaaaaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…