Natamani kupendwa kama ninavyopenda

jamani jamani ushauri mzuri toka kwa wote mliochangia. Ila moyo unaganzi ya ajabu kwa sasa naona ntakosa mume mwenzenu manake sitamani mwanaume cku hz baada ya kutamani pendo la dhati nakulikosa kwa niliekuwanae, tumezaa mtoto 1, hanijali tena machozi yanitoka kila nikiwa pekeyangu sehemu ya utulivu, eeeee mungu nisaidie sijawahi mtenda mwanaume nimetendwa mie. Ntalia mpaka lini mimi.
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla

Lady G, unanikumbusha wimbo wa Ali Kiba,
''mapenzi yanarun dunia''
kweli mwanamke akipenda, huwa kapenda kweli.......................
 
Pole sana my dia, namuomba Mungu akufanyie wepesi katika hali ngumu uliyonayo sasa ili siku moja ufahamu kuwa katika hali yoyote maisha lazima yaendelee. Mkabidhi Mungu njia zako sasa na Yeye atakufuta machozi na utasahau maumivu yote unayopitia sasa. Najua siyo rahisi lakin kwa msaada wa Mungu, Utaweza. Achilia moyo wako sasa na mshukuru Mungu kwa mtoto wako maana ni zawadi Mungu amekupa, mlee kwa mapenzi yote japo baba yake amekutenda.
jamani jamani ushauri mzuri toka kwa wote mliochangia. Ila moyo unaganzi ya ajabu kwa sasa naona ntakosa mume mwenzenu manake sitamani mwanaume cku hz baada ya kutamani pendo la dhati nakulikosa kwa niliekuwanae, tumezaa mtoto 1, hanijali tena machozi yanitoka kila nikiwa pekeyangu sehemu ya utulivu, eeeee mungu nisaidie sijawahi mtenda mwanaume nimetendwa mie. Ntalia mpaka lini mimi.
 
Pole hauko peke yako hata mie huwa nikipenda napenda kweli sema mara nyingi ndo ukubali kubeba maumivu wengi hutumia nafasi hiyo kucheza na feelings zako,sio rahisi kumtoa moyoni haraka uliyempenda kwa dhati kama unavofikiri utalia siku moja machozi yatakauka utasonga mbele na maisha.

jamani jamani ushauri mzuri toka kwa wote mliochangia. Ila moyo unaganzi ya ajabu kwa sasa naona ntakosa mume mwenzenu manake sitamani mwanaume cku hz baada ya kutamani pendo la dhati nakulikosa kwa niliekuwanae, tumezaa mtoto 1, hanijali tena machozi yanitoka kila nikiwa pekeyangu sehemu ya utulivu, eeeee mungu nisaidie sijawahi mtenda mwanaume nimetendwa mie. Ntalia mpaka lini mimi.
 
na wanawake pia ndio ivyo ivyo mbona? akishaona hisia zako kuwa unampenda basi mafulu pozi. kusema kweli na mimi huwa nashindwa kujizuia nikipenda

basi mimi ningekushauri upendane na Lady G
 
Namna nzuri ya kufurahia maisha ya kimapenzi ni kupenda kwa moyo wako wote. Kupenda nusu nusu au mguu nje mguu ndani sio vizuri.
 
Ucjali ukipenda peleka mawazo yote huko kwani huwez jua cku utakutana na anaekupenda halafu ukamuwekea mapozi ndo utakuwa umepoteza bahati.
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla

Kuna tofauti ya maumbile kati ya wanawake na wanaume. Katika mambo ya mapenzi wanawake wamejaliwa kuwa na emotions au feeling za nguvu kuliko wanaume. Hata hivyo ingawa wanaume hawana uwezo mkubwa wa feelings hizo sio kwamba hawapendi. Wako wenye mapenzi ya dhati an ya moyoni..wengi tu.

Ili kujua mwanaume anakupenda inatakiwa umjue kwa undani huyo jamaa. Usimuhukumu kutokana na jamii inavyotaka au rafiki yako anafanya nini na mpenzi wake. Mfano..Rafiki yako atakwambia ..mpenzi wake anatuma sms 50 kila siku.. nawe utapenda upate angalau sms 20 kwa siku toka kwa mwanaume wako.. Lakini bahati mbaya mwanaume wako ambaye anayekupenda kwa dhati na kuliko kitu chochote kuandika sms 5 ni kaaazi kweli kweli.. sasa ukimuhukumu kwa vile unavyofikiri utakuwa unafanya kosa..lakini ukimjua basi utaridhika na hizo sms 5 ambazo value yake ni sawa na sms 50 za jirani..

Kikubwa..mjue mpenzi wako.. mjue kwa undani.. ongea naye sana..mchallenge na kumfikisha juu ya hasira ili ujue limitation zake..then weka viwango vyako kutokana na findings na maisha ya kweli siyo ya kufikirika..

Ukipata muda soma article hii.. http://www.relationship-institute.com/freearticles_detail.cfm?article_ID=151
 
Husninyo........hujakutana na kiumbe asie na haya weye........mbona utajibeba
sasa preta kama unampenda mtu kwa nini uogope kumwonesha. Onesha kuwa unampenda, hata akikutendea ubaya ipo cku atajutia na kukumbuka kama alikuwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Show love bwanaa. Hlf mbona hufiki mpwapwa? Unatambaa au?
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla

Sijawahi kupenda wala kupendwa - Wewe unapenda je?
 
sasa preta kama unampenda mtu kwa nini uogope kumwonesha. Onesha kuwa unampenda, hata akikutendea ubaya ipo cku atajutia na kukumbuka kama alikuwa na mtu aliyempenda kwa dhati.Show love bwanaa. Hlf mbona hufiki mpwapwa? Unatambaa au?

Ndugu yangu......mpaka nisubiri aje anikumbuke itachukua muda........mmmh.......Mpwapwa nakuja....si kuna njia ya treni?
 
Hahaaaaaa kwakweli umetengeneza siku yangu,unachekesha sana sipati picha hilo gumegume ni la aina gani mpaka unaomba ukutane na jini.

Chauro.....akikukumba huyo....bora ukumbwe na jini......mara alfu
 
Husninyo........hujakutana na kiumbe asie na haya weye........mbona utajibeba

Dia preta usiogope kupenda ati utatendwa........ukifanya hivyo hautakuwa huru na hutakuwa na mapenzi ya kweli kwa mwenzako. Mimi niliwahi kusema na narudia tena, mara nitakapo amua kumpenda mtu hiyo itakuwa with all of myself. Siwezi kufake jambo hili, nitampenda na atajua nampenda. Kitakacho tokea mbele ya safari.....Mungu yupo na atanisaidia after all accidents do happen......rite??
 
kidude cha thanks kipo wapi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom