Natamani kupendwa kama ninavyopenda

Lol, pole sn, ila mie cku hz ninaganzi ya hatari, ctaki kupenda kihivyoooo, na najikuta naumiza mtu kihisia na ninaona kawaida tu

Me nimeshindwa cjui kama kungekuwa na dawa ningekunywa! maana ni taabu tu.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom