Natamani kupendwa kama ninavyopenda

Myself niko ivo na nishatendwa nakaa wee nikija kufall ni completely nadhan sometimes ni bora kuwa single tu ila kam hisia za KUPENDA zingeweza kuondolewa nadhan ningekuwa wa kwanza kuziondoa maana hata cjaona faida yake zaidi ya maumivu tu.:sad:
 
pole mungu atakupa imani yatapita tu hayo, tumepitia huko pia na ckujua km ntakuja kuwa normal nilitaman hata gari lije linigonge nife bt ckufa na nina aman sasa time will tell
 
pole mungu atakupa imani yatapita tu hayo, tumepitia huko pia na ckujua km ntakuja kuwa normal nilitaman hata gari lije linigonge nife bt ckufa na nina aman sasa time will tell

Lol, pole sn, ila mie cku hz ninaganzi ya hatari, ctaki kupenda kihivyoooo, na najikuta naumiza mtu kihisia na ninaona kawaida tu
 
Poleni sana sana Lady G na Keyshia. I am aware hii ni moja ya sababu kubwa inayowafanya baadhi ya Wadada wajiingize katika Usagaji.
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana sana Lady G na Keyshia. I am aware hii ni moja ya sababu kubwa inayowafanya baadhi ya Wadada wajiingize katika Usagaji.

Unachoongea ni kweli ksb CG, tena kwelo hasa, siku hizi mwanamke mwenzio wapiga nae story anakwambia "napenda lips zako, mara ooh ona macho mazuri, mara can i taste how sweri iz yo lips, mara can i tap u, na makolokocho kibao lol
 
Last edited by a moderator:
Poleni sana sana Lady G na Keyshia. I am aware hii ni moja ya sababu kubwa inayowafanya baadhi ya Wadada wajiingize katika Usagaji.

Unachoongea ni kweli ksb CG, tena kweli hasa, siku hizi mwanamke mwenzio wapiga nae story anakwambia "napenda lips zako, mara ooh una macho mazuri, mara can i taste how sweri iz yo lips, mara can i tap u, na makolokocho kibao lol
 
Last edited by a moderator:
Unachoongea ni kweli ksb CG, tena kweli hasa, siku hizi mwanamke mwenzio wapiga nae story anakwambia "napenda lips zako, mara ooh una macho mazuri, mara can i taste how sweri iz yo lips, mara can i tap u, na makolokocho kibao lol

Mhhh . . . Mhhh . . . Interesting . . . can you tell us more?
 
hakua size yako au hamuendani,au wewe una kasoro flan ambzo hakupenda kuish nazo maisha yote,yap huwa 2nataman ila pale ukimpata yule unaedhan ana vigezo vyako ndio hapo utajua 2napenda,c ajabu huko aliko akiambiwa ruka kichura anaruka..we jiheshmu atakuja wako
 
Kila shetani na mbuyu wake, ukiangukia kwenye wrong choice huwezi kupendwa kama unavyotaka but ukimpata aliyezaliwa kwa ajili yako lol utapendwa hadi useme pooh!
 
Kila shetani na mbuyu wake, ukiangukia kwenye wrong choice huwezi kupendwa kama unavyotaka but ukimpata aliyezaliwa kwa ajili yako lol utapendwa hadi useme pooh!
Ili upendwe ni lazima nawe upendeke!

Unaweza ukawa unapenda lakini hujiweki ktk mizani ya kupendwa!
 
i think these goes with lucky when you love someone but that guy you think of can like you or not but be honesty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom