Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.

Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
Ila wabongo aisee dah!
Sasa hii ni mada gani
 
Back
Top Bottom