Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Nilihofia labda ningezingua maana nilikuwa home night, nikahofia nisije pandisha wazimu ndani humu ikawa soo,ukizingatia watu wamelala
hiyo kitu inafaa kutest ukiwa home alone tena ufunge mlango na funguo ..
 
Mkuu bangi inaweza kukupelekesha tofauti vile ulivyotarajia ikiwa unahitaj kujiamin inaweza kukutia uoga,unaweza kuwa muoga ikakutia ujasiri ,ganja haitabiliki inaweza kukuchezesha hata ukiwa kichwa ngumu
noma sana ..
 
Kuna ukweli mkuu, lakini huo uchizi si ni temporary tu au permanent ?? ..
Wakudumu Mkuu, ngoja nikupe ushauri hapa, ukitumia jani then ukaona hautaki kwenda kuoga achana nalo, ukitumia jani ukakesha/kesho yake ukawahi kuamka achana nalo, ukiendelea very very soon utawehuka.

Kamwe usitumie jani ukiwa na hauna malengo utaji overload, jani unatakiwa ulitumie kisha uburudike kwa usingizi mwanana yaani usingizi mzito kweli kweli, hapo utaendana nalo.

Alafu usiigevwale wanaolivuta jani wanaweka shiiii!, Kama sijui wanavuta kitu gani wewe relax vuta kama sigara tu, hapo utabaki na lips nyekundu na kucha nyeupe.

Nimetumia nikiwa na miaka 13 hadi leo nina lips nyekundu, kucha nyeupe na skuli nilikua bright tu. Ila walioniiga wengi walipotea sijui walikosea wapi hata.
 
Duh kumbe mjani unahitaji discipline namna hiyo ..
 
Back
Top Bottom