Nataka nianze kula mjani

Nataka nianze kula mjani

Katika watu 10 inawakubali watatu..7 wote wanawehuka(wanakua vichaa)
Ufafanuzi please .. unakua kichaa immediately baada ya kutest for the first time au baada ya kuendelea kutumia ? ..
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
noma sana ..
Noma sio kidgo mkuu,itafute movie ya Friday ya Ice cube yupo na Chris's Tucker ndio utajua ganja ikiamua kukuchezesha
 
Mjani ni kipimo cha uchizi.

Kuna binadamu wana uchizi ndani yao na wengine hawana so ili uweze kutambua kama una uchizi au hauna unatakiwa upige mjani.

Ahsanteni.
Hahah, aisee hii jani linalindwa sana.

Kuna wadau wanakwambia jani ni diet, linakondesha na kunenepesha pia ni wewe tu chague likufanyeje.
 
Niaje wakuu ..

Natarajia kuanza kula mjani as a way of boosting my confidence and self esteem, ninachohitaji kujua ni je kuna madhara yoyote ya kiafya yatokanayo na mjani huu mtukufu.

Vipi kuhusu kazi labda abroad haiwezi kuleta noma labda wakikupima afya alafu mjani ukawa detected ..

Karibuni ..
Na rasta fuga kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom