Tahadhari ni muhimuKwanini mkuu, mbona kama unanitisha ?? ..
Kaza mkuu Kama unataka kuwa peace and genius vuta..Kama unajijua utalegeza temana nayo sio kinyonge nako tuachie sisi kirohoAaah we mwamba unatisha ..
Ukishavuta ndio utajua unakufa au haufisawa ila habari za password za benki yani ndo nakufa au ?? ..
Hapana Mkuu sikuonja, ila nilikwishaipata nikafikiria sana, nikatengua maamuz, na sifkirii tena kufanya hivyoIlikuwaje baada ya kuonja for the first time ?? ..
Mbona majani yenyewe wanachakachua me ndo maana niliacha kutumia lakini nikijua yalipo genuine nitaanza tenaWelcome jua
Kuna dry na mixer.chaguo Ni lako
Mdomo utakuwa mweusi na umelegea
Kunywa maji sana
Inanukaga mno rahisi kushtukiwa
Ikikaa Sana kichwani inaficha homa siku homa ikilipuka RIP in advance
Ukivuta unajistukia hutaki mtu wa familia akujue Kama macho mekundu
Tamu Sana feeling alright hasa ukiwa UnaKula ngoma za hip-hop kina Roma,nikki,ghetto,kad go,ngwair,na wengineo wengi
View attachment 1887668