Yaani unataka kuwa mvuta bangi!
Elimu ya saikolojia inasema'ivii?
Ukiona mtu yeyote kwenye hadhara kaanza kuulizia tija ya jambo fulani, mara nyingi ingawa si mara zote, mtu huyo jambo hilo huwa keshalifanya, ana uzoefu nalo na analipenda.
Ukiona mtu anamponda ama kumsifia mtu wa jinsia tofauti na yeye, elewa mtu huyo anampenda sana mtu huyo na anatamani sana kuwa kwenye mahusiano naye.
Ukiona mtu analaani sana tabia fulani, mfano wizi, uzinzi nk nk, elewa mtu huyo ana tabia hizo kisilka, huzifanya kwa njia nyingine ama atakuja kuzifanya.
Kwa muktadha huu, wewe ni mvuta bhangi mzuri tu,ila lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kuelewa vipimo vya kiwango cha madawa ya kulevya mwilini kwa mtumiaji, huonekana pindi akipimwa hasa wakati akisafiri kwenda nchi za ughaibuni!
Lakini uelewe kwamba, bhangi zako hizo zinakupatia mzuka wa muda tu na mara nyingi mzuka wa bhangi ni marue rue yasiyo na uhalisia yanayoleta upumbafu.
Omba Mungu akuue ukiwa kijana kabla haujazeeka.
Maana kuufikia uzee ukiwa mvuta bhangi ni bahati, kutokana na madhara mengi sana yatokanayo.
Hata ukabahatika kuzeeka, utakuwa ni mzee asiyekuwa na manufaa yoyote katika jamii inayomzunguka, yaani mzee fala asiye na ushauri.
Sent using
Jamii Forums mobile app