nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,953
- 5,822
Asante sana ndugu kwa kulikamilisha hili. Ndio utamu wa JF huu, hauishii njiani, utafika tu panapotakiwaMambo ya Walawi 19:28
"Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana".