LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
- Thread starter
- #161
Kama watu wanaojielewa kama rubii wakiniruhusu nitakuonyesha ambavyo ulivyo mtu mzima ila akili zako aliyejuu ndiye anajua. Usisahau ulianza kuonyesha PM wewe na HR666 mlivyokuwa mnaombana, ukatueleza jinsi mume wako alivyotenguka kiuno, hukusita kutueleza unavyotaka kumfukuza mama mkwe ila ulinikosha ulivyosema wewe ni mtoto uliyezaliwa Tanga. Nakumbuka nilimuomba Sky Eclat asaidie wa kunyumba na nikamuomba pia mama wa shoka hapa JF NIMPENDENANI akusaidie. Mama hizi tatoo huwezi kuchora wakati una watoto (huo ni ulimbukeni na inaonyesha mumeo kiuno hakijapona unatafuta). Nitaendelea baada ya kukamua ng'ombe wa boss
watanzania bwana kwa kukatishana tamaa! Kwahiyo mwanamke ukizaa na thamini yako inakwisha kwa kua una watoto wasi huwezi kupata unachokipend! Teh teh teh Mimi hilo siamini hata kidogo maana with my 3kids sijawahi kikosa ninachokipenda kwa ajili yao kikubwa huwa naongeza tu juhudi kukifikia
Hiyo ya HR666 Off course yeyote atayeniletea pm za kishenzi sitamvumilia,wengine tupo hapa si kwa ajili ya kutongozwa tumekuja ku socialize na jamii zetu kama moja ya faida ya mtandao.
Kikubwa elewa sitafuti bwana,nna mume na amenitoa mbali sana,aliponitoa hata wewe huwezi hivyo hata nikimuandika hapa simuandiki kwa ubaya maana thamani yake naijua mie kama yeye anavyoijua yangu,na zaidi ya yote tupo hapa kujifunza na Ku share life experience.
Shukrani sana kwa kunielekeza kwa huyo Mtanga mwenzangu ila jua hata yeye hajakamilika,ana madhaifu na makosa yake kama binadamu NASUBURI VIBOKO VYA M/MUNGU vya binaadam nishavizoea
Sent using Jamii Forums mobile app