Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,303
Hahaaa nacheka sana na mbwembwe zako za umaliziaji msgUkichora ya bae wako pale chini kabisa utakuwa umemtendea haki asee. Begani hakuna mvuto hata kidogo ujuwe, halafu ukichora ya 'uziguani' mtakuwa mnaona wawili tu na bae wako.
Can't imagine myself screwing a lady with demonic tattoos, sounds romantic![]()
![]()

