Kwani hujaoa kweli bby? Maana nimeona shemeji nyingi sana humu ndo maana nikaamini maneno niliyoambiwa.Duuh..Yashakua hayo..Haya bana...Ila najua hao ni wafitini tu ndo wamekujaza maneno
ameen...!!kweli kabisaNmekupenda buree..
Ukumbusho humfaa mwenye kuamini.
Hao Wananzengo achana nao...Wengine hawajui hata maana ya shemeji,wanajiitia tu...Kwani hujaoa kweli bby? Maana nimeona shemeji nyingi sana humu ndo maana nikaamini maneno niliyoambiwa.
Haha daddy umenikumbusha mbali sana, Kurthumu hajambo?Sasa haka katattoo cha Kuruthumu nakafanyaje Douta?...Kwamba Mimi na pepo ndo basi tena??
Hao Wananzengo achana nao...Wengine hawajui hata maana ya shemeji,wanajiitia tu...
. Bby umetisha.Teh teh...Kuruthumu nabaki kumuangalia kwenye tv tu...Watu walifanya mapinduzi...Haha daddy umenikumbusha mbali sana, Kurthumu hajambo?
Nahisi nakufahamuNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hizo nazo akili kweli unachafua mwili wako kisa ukumbusho unaoweza kuutunza kichwani au nataka uonekane msanii.Na kma ni muislam ni haramuNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ukuje nikuonyeshe tattoo![]()
![]()
![]()
![]()
. Bby umetisha.
Chora matakonii utamkumbuka zaidi ukienda kunyaNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tattoo aisee Mh! kuna watu wameanza kuweka mpaka usoni! Na wengine miili yao imejaa tattoo kila sehemu ya miili yao hata kupoteza ile rangi ya miili yao, lakini kuna baadhi zinapendeza mno hasa kwa warembo zilizowekwa kwa utalaamu mkubwa.
Chura was ukweli au chura nanhinooo tunayijua ccmimi pia nataka kuchora chura basi tu kwa raha zangu.ukipata fundi unishtue mami
Hapo dam bado ya moto unamkumbuka huyo MTUNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app