AmenMambo ya Walawi 19:28
"Msichanje chale yoyote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi Bwana".
Mbona kazi rahisi saana kufuta TATOO...Chukua Pasi tu weka ktk Umeme iache ichemke kama dakika 5Kila la kheri. .
Ukifika huko niulizie jinsi ya kufuta tatoo
Ndo ushachora tayari?Wanawezaje kuchora Tatoo mwili mzima? Sikujua ela yangu itanitoa machozi wallah tena!!
Sent using Jamii Forums mobile app