Nataka kwenda kuchora Tatoo

Nataka kwenda kuchora Tatoo

Chora mama, tena chora tu tattoo za kutosha. Allah ametupa utashi, lakini ukiutumia utashi huo bila yeye mwisho ndio kama hivi.

Wenye location please help her, ndipo dunia ilipofikia sasa, what can we do!!
Waja acheni unafiki,mbona vipo vingi tu binaadam mnavyovipenda na kuvitenda ambavyo vipo kinyume na mafundisho ya Allah!? Kila mtu apambane na maisha yake ,siku ya mwisho hautaulizwa Mwanakheri aliomba ushauri wa Tatoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda posta (Dsm), kuna mgahawa umejificha sana unaitwa 'Azuri' kwa nyuma ya huo mgahawa upande wa mashariki kuna jamaa huwa anachora Tattoo nzur sana,tatzo tattoo zake hawez kufuta mtu mwingine tofauti na yeye.But again you have to think twice and intellectually,fikiria ukitaka kuajiriwa na shirika au kampuni flani ambalo hawataki uwe na tattoo ktk sehem yoyote ya mwili...what are u gonna do?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa umri wangu kuajiliwa pengine labda nitumbuliwe ,hata hivyo sina lengo la kuchora mchoro mkubwa au wa wazi ni kiji mstari tu cha maneno machache,shukrani sana kwa location

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nikutafutie contact za huyu kaka wa mwananyamala nikupatie.
 
Waja acheni unafiki,mbona vipo vingi tu binaadam mnavyovipenda na kuvitenda ambacho vipo kinyume na mafundisho ya Allah!? Kina mtu apambane na maisha yake ,siku ya mwisho hautaulizwa Mwanakheri aliomba ushauri wa Tatoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimesisitiza wenye location wakupe ili ukamuenzi Abel kwenye bega, kuna ubaya hapo?

Abel is one lucky chap.
 
Najua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.

Sent using Jamii Forums mobile app

1918318_1090578010994124_3710208727068249064_n.jpg


Karibu sana aisee,hapo niko kazini na mteja wangu
 
Napenda mkononi ila maisha hayaniruhusu kuchora tattoo inayoonekana kwa sasa hivi. Naendelea kuvuta vuta muda kwanza.
Ukichora ya bae wako pale chini kabisa utakuwa umemtendea haki asee. Begani hakuna mvuto hata kidogo ujuwe, halafu ukichora ya 'uziguani' mtakuwa mnaona wawili tu na bae wako.

Can't imagine myself screwing a lady with demonic tattoos, sounds romantic
 
Wewe ni malaya ,na hapa najiandaa kukuanzishia thread nimekufatilia muda mrefu sana na mauchafu yako yote yale nitayanika

Una roho mbaya kama shetani.
Asante nitashukuru Ukinianzishia Thread ila nitapangua yote maana sijawahi andika uongo ila umeshindwa tu kunielewa kwa kifupi tu
Yes Kasim alikua mchumba wangu + rafiki wa mume wangu wa sasa na kabla ya kifo chake kilichosababishwa na ugonjwa wa kwikwi nilikua tayari Nina ujauzito wake wa wiki kadhaa na baadae sana baada ya kuzaa na kuzoea maisha Abeid (aliye pata ajali Bagamoyo road) alinichumbia na nipo nae mpaka Leo hii,anzisha thread Mkuu nitashukuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichora ya bae wako pale chini kabisa utakuwa umemtendea haki asee. Begani hakuna mvuto hata kidogo ujuwe, halafu ukichora ya 'uziguani' mtakuwa mnaona wawili tu na bae wako.

Can't imagine myself screwing a lady with demonic tattoos, sounds romantic
Ya bae wangu siko tayari kutake hiyo risk, bae ntakua namchora kwa piko tu ili wakati wa mambo ya uziguani awe anaiona kwa nyuma nini.
 
Bora umchore mwanao au wazazi wako, hawa ndugu zetu wa kiume hawakawii kukugeuka baadae ukaja jifuta na pasi hiyi tattoo.
Kuna mmoja yuko mwananyamala manjunju/posta kama unashuka kuelekea mwananyamala B shule ya msingi. Nimeona kawachora rafiki zangu watatu vizuri sana na bei rahisi tu.
Siku nikipata ujasiri nitaenda kuchora jina la my son..
Nichore na Mimi...Naahidi sitakuangusha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom