LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
- Thread starter
- #41
Wewe ni malaya sanaNajua ni haramu lakini nahisi nataka hicho kitu,nataka kuweka alama ya ukumbusho wa jina la mtu muhimu sana kwangu!! Hivyo nimevutiwa kwenda kuchora sehemu ya mwili wangu (mkononi) kama ishara yeye kuishi daima mwilini mwangu.
Wazoefu naomba mnipe location ya fundi mzuri wa Tatoo na approximation ya gharama zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka aishi milele mwilini mwangukwa vile umeingia humu lazima atakuwa bwana ladyAJ... imajini mukiachana?
atadumu tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepokea maoni yako ila Mimi nikitamani kitu hata liwe bomu raha yangu ni kulitendakila la kheri ila fikiria mara 2, anaweza kuja wa muhimu zaidi ya huyo na akakwazwa na iyo tatoo kwa kuona juhudi zake na kila kitu kwako si kitu ivo kukata tamaa ingali ww ukimuhitaji bado .
Poa sana ustadhat
Naomba unielekeze mkuuHapa begani nimechora tatoo yenye maneno John 3:16 ambayo tafsiri yake haraka haraka ni Kwa maana Mungu aliupenda ulimwengu kiasi cha kumtoa Mwanae pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.. Alinichora jamaa mmoja anaitwa Pollo, nilimuita akanifata ninapoishi, saivi kawa staa kidogo sijui hata huduma yake ipoje, lkn ana ofisi Bamaga
Hongera,najua ni haramu ila moyo wangu umevutikaNilikuwa nataka sana kuchora tattoo ila kuna siku kama zali tu nikafunua kitabu cha Mambo Ya Walawi katika Biblia Takatifu, niliishiwa nguvu kwa maneno yale.
Nilishasahau mstari wa ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Walawi washakufa.... Kila MTU apambane na hali yake
pambana na huba zakoNi Mawazo yako,nayaheshimuKama ni jina basi liwe la mzazi... Tofauti na hapo its not worthy it
Sitaki ushauri nataka mnipe Location ya mafundi tatooNadhani Nuhu Mziwanda na Shilole wanakufaa kwa ushauri.
Kila la heri mkubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Neno la Mungu laishi hata mileleWalawi washakufa.... Kila MTU apambane na hali yake
Watu wa makanisa mna tabu nyie lol! Mara walawi mara ushuhuda basi taflani! Kila mtu atabeba dhambi zake,nipe location mengine niachie mwenyeweKuna jamaa nilimuona anatoa ushuhuda kanisani kwa nabii Magaya wa Zimbabwe kupitia Yadah tv anaeleze jinsi gani tatoo zilivyo demonic na ni dhambi na aliquote mstari kutoka mambo ya walawi
Yani jamaa alijichora kila sehemu ya mwili wake...na ye mwenyewe alikuwa mchora tatoo
So think twice
Sent using Jamii Forums mobile app
Kassim ndie Marehemu (Allah ampunguzie adhabu ya kabri,amuweke kivulini) Abeid ndie mume wangu,ndani ya nyumba yetu jina Kassim halijafa lipo maana moja ya watoto wetu tumempa jina hilo hivyo linaishiKuna uzi wako hapa kuhusu Baba wa mtoto wako wa kwanza kama sikosei anaitwa Abedi ambaye sasa ni marehemu. Kama ni jina lake basi mie ushauri wangu usiweke maana hujui mumeo litamgusa vipi au umwambie nia yako huyu wa sasa ili uone reaction yake, lakini kama ni la mumeo huyu wa sasa ambaye alikuhudumia kwa hali na mali baada ya Abedi kufariki na wewe ukiwa mjamzito basi hakuna neno RUKHSA.
We live once! Tufurahie maishausihalalishe halali kua haramu ili kufurahisha binadamu
am sorry lakini ila tunaambiwa kuna maisha ya barzakh...
naona mshamfanya huyu muumba mjomba wenu...... utandawazi umewaharibuWatu wa makanisa mna tabu nyie lol! Mara walawi mara ushuhuda basi taflani! Kila mtu atabeba dhambi zake,nipe location mengine niachie mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuelewa sana!!Mwana kwetu vip ten usifurahishe nafsi yako ukasahau kumfurahisha Alosimamisha mbingu bila ya nguzo kama umeamua kumfurahisha huyo umpendae unaweza ukamfanyia chochote ambacho hatakisahau katk kumbukumbu zake tattoo ni haramu na ni dhambi pia ngoj niishie hapa.