TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Kwa tetesi za mtaani viwango vya riba vimeongezwa kwa wale wanohitaji kuweka pesa kwenye akaunti za kuzaa faida yaani Fixed deposit au fixed term ,wanadai hii inatokana na ukwasi katika mabenki mengi hivyo wanahitaji watu watakao weka pesa kwenye mabenki yao.Je ni kweli?
Kwa sasa nina kama 10M nataka niiweke fixed kwa muda wa miaka 5 je naweza pata kiasi gani kila mwezi?
Benki gani wana riba nzuri na vigezo na masharti yao ni nafuu?
Nawasilisha na natanguliza shukrani kwenu wachangiaji.